Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

jukwaa limekua la matangazo mazuri siku Hizi.. Natamani kumuona Missyrose Akiibuka hapa na kunipa makiss ya kutosha...
 
Binafsi mara ya mwisho kukutana na mwanamke ni 2013 na mwishoni kabisa ni wanzoni wa mwaka huu ila kwenye ndoto, sijakutana na dhara lolote kiakili au kiafya japo mwanzoni nilipata shida ila iliisha taratibu,zaidi ya upweke hakuna shida yoyote nilio kutana nayo, na kwendoo huu naweza kufika hata miaka kumi bila ya kufanya hilo tendi na nikabakia bila shida yoyote, usihofu ila nje ya Mungu kamwe haiwekjani.
 
Hata mimi simuelewi, eti ghafla bin vuu eti anakuita dada, huku alishasema naye yupo kwenye foleni ya kukuvizia.

Si bure ipo namna. Adhari ya kujitoa kwenye folen ni Kubwa yeye hajui tu

me kwenye foleni bado nimo, na sina mpango wa kutoka. hata kama wanakula watu 10, nami nasubiri zamu yangu nile. Hata tupangwe zamu, sawa tu. Katika hili sina kauli ya kishujaa coz mifuko yangu imetobokaaa, so nakubaliana na hali iloyopo. Na Kulwa ndo alinitisha kabsaa, eti kuwa 'mwenye kisu kikali' ndo atakae kula nyama.
 
Teh teh. Kisu sio lazima mifuko itune tu,hata ukiwa original pia waweza kula nyama. Haha
 
Teh teh. Kisu sio lazima mifuko itune tu,hata ukiwa original pia waweza kula nyama. Haha

asavali. heheheee nimechekelea mpaka jino la mwisho. fitina za atoto zimegonga mwamba. mim ni original sana tu, na meno yangu yapo tayari kabsa kula 'nyama tamu' . teh teh
 
Last edited by a moderator:
asavali. heheheee nimechekelea mpaka jino la mwisho. fitina za atoto zimegonga mwamba. mim ni original sana tu, na meno yangu yapo tayari kabsa kula 'nyama tamu' . teh teh

Teh Teh..tamu na Laini bana..ha ha
 
Last edited by a moderator:
nimekaa miaka miwili sijakutana kimwili na mwenzi wangu.

Swali; je, kuna athari zozote zinaweza kutokea.

Msaada

hamna tatizo, saikolojia inaniambia mwanamke hujisikia kushiriki tendo pindi akiwa katika siku zake za hatari tu, which means inaweza ikawa 2times au one times per month, baada ya hapo huendelea na mambo yake kama kawaida.....
Ingawa mkuu utakuwa vizuri sasa hivi.........hiiiiiiiiiiiiiii(mgombea fulani anaguna)
 
Back
Top Bottom