Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

Nimekuwa mjane for more than 7 years na sijatenda. Sioni ttz ila kuna saa unatamani c siri

Hivi wajane hawaruhusiwi kuwa na waume/wenza..hata baada ya eda!? Au umeamua mwenyewe?
 
Kiafya hakuna madhara yeyote ila kisaikolojia kuna madhara makubwa.
-Utakuwa haupo makini kiutendaji wa shughuli zako,
-Utakuwa unahamu mno/kupoteza hamu
-Kuwa mtu wa hasira nyumbani, ofini au popote
-Kupoteza kumbukumbu haraka. Unaambiwa kitu ndani ya dk5 umesahau
-Kujiona mpweke/una hadhi kuliko wenzako kwa maana y kuwa na maringo.
Ni hayo tu. Ila kiafya haina madhara.

kwa hiyo saikolojia,kumbukumbu, kupoteza hamu na upweke sio afya?

poor you!
 
Msaada wa kukutana kimwili au msaada gan dada?
 
Njia za kutafuta mapozeo siku hizi zimekuwa nyingi mno, wengine hujifanya bikra ili kuongeza thamani lakini ukitest zari unakutana na kihansi.
 
Last edited by a moderator:
Kuna madhara ndio. Kati ya hayo yameshaanza kujionyesha katika 'typing' yako. Hayo makosa uliyofanya yametokana na ukosefu wa vitamin C, calcium, chlorine, citric acid, fructose, magnesium, nitrogen, phosphorus, potassium, sodium, lactic acid, B-12. Hayo 'madini' yote yanapatikana kwenye....damn i wish i had a font for showing when i'm being stupid.

hahahhahahahahahahahah
 
Back
Top Bottom