Aggyjay, humjui baba yako??Sijaolewa
Aggy plz, unajua hakuna kitu kigumu kama kutamka mtandaon kuwa unampenda mtu fulani hapa nimeamua kujilipua mwenzio!
Na hakuna kitu kibaya zaidi kama kukataliwa mtandaoni daaaaaaahhhhh!!!
Aggyjay, humjui baba yako??
How??? Au mama yako ni Bikra Maria?Ndio
ngoja nikutumie namba yake,huyo binti ni mstaarabu sana,mimi napafaham mpka nyumban kwao,alafu anajua mapenz balaa yaan ww utaniambia tu wala si masiala,pia ni muelewa sana sio kama hawa madada wa mjini,ngoja nikutumie namba zake uongee naye.Mie sitaki kuchangia kuhusu kufananishwa na mtu!
Ila natamani niwe mwenza wako kimaisha niko serious Aggy!
Hongera
Mkuu ntakutoa busha [emoji48][emoji53][emoji53]ngoja nikutumie namba yake,huyo binti ni mstaarabu sana,mimi napafaham mpka nyumban kwao,alafu anajua mapenz balaa yaan ww utaniambia tu wala si masiala,pia ni muelewa sana sio kama hawa madada wa mjini,ngoja nikutumie namba zake uongee naye.
Muulize vizuri mshua au maza inawezekana kuna mmoja wao alijicheba kimyakimya
Mayo wane, Twikondelagi bagosha![emoji23][emoji23][emoji23] aggy ni bomu.. Hutomweza
How??? Au mama yako ni Bikra Maria?
Hahahh...! Sasa ukadhani baba yako alikuwa na mbegu moja tu ya kwako?? Maana kama ya kwako alitupa somewhere ujue aliendelea kuputa nyingine.Ndo hivo.. We yaache
sasa dada yetu,unakataa kuolewa??,wenzako hiyo bahat wanaililia aiseee,alafu kingine-ni kwamba ww utakuwa shemeji yetu,hapa ndio undugu wenyewe unapoanzia,usikatae hz ni balakaMkuu ntakutoa busha [emoji48][emoji53][emoji53]
Jiangalie
Una sura na tabasamu zuri ndo maana, wanavutiwa na uzuri ulio kwenye taswira yako kiasi akili zao zinzwataarifu walishawahi kukuona na wanakufahamu.
Uzuri iwe unafananishwa na mtu asiye na mawaa.... fikiria unafananishwa na mtu ambaye ni kama Amber Rutty halafu wanajihakikishia kabisa ni wewe...( nisemea mfano simaanishi hivyo) Yaani ikiwa wanakufananisha na mtu mwenye matendo maovu au mabaya kwa jamii wakati wewe huna hata moja unalojua..... unaweza jikuta unatekwa au unauzwa hivihivi.
k' Matata.
mwingine akikuliiza muombe namba za simu
Hahahh...! Sasa ukadhani baba yako alikuwa na mbegu moja tu ya kwako?? Maana kama ya kwako alitupa somewhere ujue aliendelea kuputa nyingine.
Njoo pm nikuulize kitu.