ni kwel dada yetu,siku hiz shetan hana adabu ila pamoja na hayo ukimuona mtu anaashilia kuvutiwa na ww alafu akakutamkia,usimpinge moja kwa moja bali mpe maneno ya laini lainu ya kuheshimu hisia zake lkn umwambie haiwezekan kwa sasa,kwa kufanya hvyo kwanza yeye atakuwa ameridhika na roho yake huko yaan atakunjua roho yake pia na ww unakuwa unazid kujifungulia milango ya baraka zaid na zaid,tofaut na hapo itakuwa kinyume chake-kwan wakati mwingine Mungu akitaka kukuletea mwenza,njia zake huwa hazichunguziki wakati mwingine anaongea na ww kupitia watu waliokuzunguka,hvyo yule mshikaji ilikuwa ni saut ya Mungu anatumia kuwasiliana na ww moja kwa moja,ni kwel kwenye wengi pana mengi tukiachana na maswala ya ki Mungu ni vizr kuchukua tahadhari maana si rahisi kumlidhisha kila mtu