Mwenzenu nafananishwa sana na mtu

Mwenzenu nafananishwa sana na mtu

sasa dada yetu,unakataa kuolewa??,wenzako hiyo bahat wanaililia aiseee,alafu kingine-ni kwamba ww utakuwa shemeji yetu,hapa ndio undugu wenyewe unapoanzia,usikatae hz ni balaka
Sawa kakangu... Natania tu
Ila hawa wanaume wa jf nao magaidi
Huwez mjua nia yake
 
yaan ww hapo ni kwamba ulishawahi kuishi hapa dunia miaka ya nyuma alafu ukazaliwa upya ndio maana unafananishwa,ishara za kukujulisha kwamba ulishawah kuishi ni aina ya ndoto unazoota au mara zingine kufika mahala ambapo haujawahi kufika alafu unagundua hayo mazingira sio mageni kwako,hvyo ww ulishawah kuishi hapa dunian wala hamjazaliwa wawili wala watatu
 
Lakini huyo mtu yupo.. Ni rika sawa na mimi inaonesha
 
Sawa kakangu... Natania tu
Ila hawa wanaume wa jf nao magaidi
Huwez mjua nia yake
ni kwel dada yetu,siku hiz shetan hana adabu ila pamoja na hayo ukimuona mtu anaashilia kuvutiwa na ww alafu akakutamkia,usimpinge moja kwa moja bali mpe maneno ya laini lainu ya kuheshimu hisia zake lkn umwambie haiwezekan kwa sasa,kwa kufanya hvyo kwanza yeye atakuwa ameridhika na roho yake huko yaan atakunjua roho yake pia na ww unakuwa unazid kujifungulia milango ya baraka zaid na zaid,tofaut na hapo itakuwa kinyume chake-kwan wakati mwingine Mungu akitaka kukuletea mwenza,njia zake huwa hazichunguziki wakati mwingine anaongea na ww kupitia watu waliokuzunguka,hvyo yule mshikaji ilikuwa ni saut ya Mungu anatumia kuwasiliana na ww moja kwa moja,ni kwel kwenye wengi pana mengi tukiachana na maswala ya ki Mungu ni vizr kuchukua tahadhari maana si rahisi kumlidhisha kila mtu
 
Lakini huyo mtu yupo.. Ni rika sawa na mimi inaonesha
iko hv,huyo mtu hayupo ila hao unaokutana nao wote nao pia walishaishi enzi hizo ambazo ulishii na ww,ikitokea siku nyingine tena ametokea wa kukufananisha hebu usimuachie,alafu mwambie akuelezee kuhusu huyo anayekufananisha naye,atakachokueleza utashangaa mwenyewe kwani vingi utakuwa unavifaham kwa maana hyo huyo anayefananishwa ni ww pia ulishawahi kuishi hzo sehem wanazokutajia dada yang.
 
Asante kwa ushauri
Ntazingatia

Ooh kwahiyo unamaanisha huyo anaenifananisha na mie tumewahi kuonana hapo kabla hatujazaliwa kwa mara nyingine?
 
Wale wenye imani ya budha wanaamini kwamba binaadamu akifa huwa anakwenda kuzaliwa upya mahali pengine ".... huwenda ikawa ulishakufa mkuu so ukazaliwa tena
 
Wakuu nimemeza hivi vidonge vya ARV leo asubuhi. Nimehisi uchachu uchachu sana. Vipi mnahisi uchachu kama mimi ?
 
Back
Top Bottom