Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
-
- #81
Pacha wako siku utamfaham tu
Prophet omarionNo need explanations this is a prophet
Fuatilia Vizuri historia wakati unazaliwa isije ikawa mlizaliwa mapacha
Common face zikojeWATU WANAOFANANISHWA SANA HUWA WANA"COMMON FACE"
Hua inatokea
Wanasemaga duniani wawili wawili
COMMON FACE NI SURA AMBAYO UKIMUONA MTU HATA MARA YA KWANZA UNAHISI KUNA SEHEMU UMEWAHI KUMUONA.
Hapana. Nafanana na stephen wassiraMmh mbona kama nakufahamu vp una undugu na dudu baya[emoji848]
Weka picha yako halisi nami nikufananishe
nlifananshwa na mo
waKat wa ile saga yake
Huu mwandiko wako unafanana na mtu humu ndani mmmh!
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umelipia tangazo la dimpoz na kidoti