Mwenzenu nafananishwa sana na mtu

Kuna Jamaa alifananishwa sana hadi siku akapewa namba ya huyo mtu anayefananishwa nae, siku alipopiga simu kuongea nae alistuka kwani alidhania ni echo sound maana alihisi anajiongelesha na kujijibu akaomba wakutane na siku walipokutana alistuka alidhania anajitizama kwenye kioo... wawili hao walienda hadi kwenye Studio za Television wakahojiwa Masikini kuna kijana mmoja alibahatika kutizama kipindi hicho nae alistuka kuona watu wawili wanafanana nae kwa kila kitu aliwatafuta na wale wawili walipata hamu kubwa kumona huyo mtu wa tatu walipokutana ilikuwa furaha ya machozi ukafanyika uchunguzi kumbe wote walizaliwa na baba na mama mmoja sema wazazi wao waliona maisha yao kimeo kulea watoto watatu ni issue hivyo waliwagawa kwa vituo vya kuwatafutia wazazi wasio na watoto hivyo watoto walitawanyika... ni True story Three identical strangers.





blob:https://www.today.com/30741653-1697-4cb4-83c0-09089191240e
 
Kwakweli.. Unatamani umuone huyo mtu
ah Huwa Napotezea tu... Kuna Mjamaa tupo nae jengo moja kikazi hudai nafanana hadi sauti...
Na kuna mjamaa mwingine niliingia Supermarket alinifuata na kunisalimia as if mimi ni mjomba wa Rafiki yake Mbezi yaani sina kasoro
 
Wow.. Inafurahisha
Nami nna mashaka ni pacha
 
ah Huwa Napotezea tu... Kuna Mjamaa tupo nae jengo moja kikazi hudai nafanana hadi sauti...
Na kuna mjamaa mwingine niliingia Supermarket alinifuata na kunisalimia as if mimi ni mjomba wa Rafiki yake Mbezi yaani sina kasoro
[emoji23][emoji23] jaribu kuwaulizia huwezi jua
 
[emoji23][emoji23] jaribu kuwaulizia huwezi jua
Kuna rafiki yangu mmoja anasema alishawahi fananishwa hadi wakakutana sema makabila walikuwa tofauti sana na ikawapelekea hadi kuwa marafiki...

But the Truth ni kuwa watu wengi huwa tuna undugu mambo ya kuhama hama inatokea kuja kuoana kwa ndugu na kuzaa dna sawa kunasababisha watu kufanana... so mtu akifananishwa nawe jua tu huyo ni nduguyo kiukoo wa asili.. Kuna watu wanajijua kuwa wao ni wachaga lakini hata hawafanani, au wapare,Wasukuma n.k
 
umetumia njia ndefu ku express your beautiful

sema tu unataka wanajf tujue we mzuri sio unazunguka adi unakera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…