Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
- #101
Hahahaa
Nahisi nishawawahi kukuona Dodoma....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi nishawawahi kukuona Dodoma....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwakweli.. Unatamani umuone huyo mtueven me Nafananishwa Sana hadi naogopa
ah Huwa Napotezea tu... Kuna Mjamaa tupo nae jengo moja kikazi hudai nafanana hadi sauti...Kwakweli.. Unatamani umuone huyo mtu
Kuna Jamaa alifananishwa sana hadi siku akapewa namba ya huyo mtu anayefananishwa nae, siku alipopiga simu kuongea nae alistuka kwani alidhania ni echo sound maana alihisi anajiongelesha na kujijibu akaomba wakutane na siku walipokutana alistuka alidhania anajitizama kwenye kioo... wawili hao walienda hadi kwenye Studio za Television wakahojiwa Masikini kuna kijana mmoja alibahatika kutizama kipindi hicho nae alistuka kuona watu wawili wanafanana nae kwa kila kitu aliwatafuta na wale wawili walipata hamu kubwa kumona huyo mtu wa tatu walipokutana ilikuwa furaha ya machozi ukafanyika uchunguzi kumbe wote walizaliwa na baba na mama mmoja sema wazazi wao waliona maisha yao kimeo kulea watoto watatu ni issue hivyo waliwagawa kwa vituo vya kuwatafutia wazazi wasio na watoto hivyo watoto walitawanyika... ni True story Three identical strangers.
[emoji16][emoji16]Mbona kama nakufananisha mkuu ebu tuma kapicha
Kapicha ako mkuu[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23] jaribu kuwaulizia huwezi juaah Huwa Napotezea tu... Kuna Mjamaa tupo nae jengo moja kikazi hudai nafanana hadi sauti...
Na kuna mjamaa mwingine niliingia Supermarket alinifuata na kunisalimia as if mimi ni mjomba wa Rafiki yake Mbezi yaani sina kasoro
Kapicha ako mkuu
Kwani umewai ishi moshi na saivi upo ud?Hakuna
Kuna rafiki yangu mmoja anasema alishawahi fananishwa hadi wakakutana sema makabila walikuwa tofauti sana na ikawapelekea hadi kuwa marafiki...[emoji23][emoji23] jaribu kuwaulizia huwezi jua
Yah ofcozProphet omarion
Pole sana AggyHawapo since kinda
Pole sana Aggy
Kwani umewai ishi moshi na saivi upo ud?