Mwenzenu naibiwa live mimba miezi kumi na mbili inawezekana?

ananing"ang"ania eti mtoto wa kwangu wakati niliachana nae miezi nne akawa na wanamme mwingine wakashindwana tena ndio akataka kurudi tena kwangu akiwa na mimba. tangu tumeachana mpaka anajifungua ni miezi 12 tulihesabu nae vizuri na yeye anajua ni miezi 12 tangu tukutane kimwili, hiyo mimba ni ya kwangu au ya huyo wanaume aliyeachana nae wa mwisho????? nahitaji ushauri zaidi please.
 
mkuu mbona tatizo dogo sana, kama mimba ilifika miezi 12 hio ni complication ambayo ndugu jamaa na marafiki wa karibu wanaijua fika,ebu peleleza kama ni kweli, au hata hospitali aliyojifungulia.kama we ni baba kama anavyodai una haki ya kufanya uchunguzi. hebu anzia hapo kwanza
 
Mtoto ni mali. Ukiambiwa wako wewe lea tu, si lazima umlee mtoto aliye damu yako. Ukimwandikisha jina lako huyo ni wako tu
 
kunamjanja kakataaa
anataka akuuzie mbuzi kwenye kiroba
 
Hapa nimeshindwa kuelewa....

 

Napata shida na uwezo wako wa kuchambua mambo na kufanya maamuzi. Hivi ww...

1. Amejifungua baada ya miezi 12 tangu kuachana, miezi 3 ya ziada, hivi unategemea nini. Hiyo mimba ya kwako????
2. Miezi minne hajakwambia, alijua haikuhusu, alipokataliwa huko ikabidi akuletee.
3. Alikuwa na mwanaume mwingine, wameshindana ikabidi akuletee. Vipi ikiwa wasingeshindana
 
Achana nae we ifanye historia tu hiyo ya kuwa nae.... huyo mtoto sio wako..... anataka kukupa majukumu ambayo sio yako...
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…