Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akadai kuwa ameamua tu ila baada ya kuachana nae masaa machache akanipigia simu na kuniambia kuwa ana ujauzito wangu, nilishangaa sana kwa sababu mimi sikukutana nae kimwili yapata miezi minne iliyopita na hakuwahi niambia kitu chochote kuhusu hiyo mimba,
4.Tangu nakutane nae kimwili mara ya mwisho hadi siku aliyojifungua imepita miezi 12, je?
meona eeeh miss u wii
Ndugu zangu wana JF nina shida ambayo nashindwa kuitatua.
Kuna msichana mmoja nilikuwa nina mahusiano nae ya kimapenzi ila tulikuja kuachana baada ya kuona tumeshindwana kitabia.
Sasa baada ya kuachana tulikaa muda mrefu bila kuwasiliana siku moja nilitaka anirudishie computer yangu nikamkuta amevaa koti huku jua linawaka nikamuuliza kulikoni umevaa koti na jua kali?
Akadai kuwa ameamua tu ila baada ya kuachana nae masaa machache akanipigia simu na kuniambia kuwa ana ujauzito wangu, nilishangaa sana kwa sababu mimi sikukutana nae kimwili yapata miezi minne iliyopita na hakuwahi niambia kitu chochote kuhusu hiyo mimba, ila mimi nilikataa, ilipita muda yule binti akajifungua mtoto wake.
Sababu za mimi kumkataa hadi leo ni hizi zifuatazo.
1.Haiwezekani ukae na mbimba muda wa miezi minne bila kuniambia chochote ila baada ya kuniona ndio akanipigia cmu kuniambia
2.Kuna kipindi akarudi kuniomba msamaha na kunieleza kuwa amejaribu kuwa na mwanaume mwingine ila nimeshindwana nae anataka turudiane.
3.Nilimkuta amevaa koti ili kuficha mimba nisijue kuwa anamimba ila niligundua.
sababu kuu.
4.Tangu nakutane nae kimwili mara ya mwisho hadi siku aliyojifungua imepita miezi 12, je?
Inawezekana kuwa na mimba ya miezi 12?
Je kama ni wewe utakubaliana nae?
Ushauri wako wako ni wa muhimu sana jamani nisaidieni hili.
Pole sana mkuuNdugu zangu wana JF nina shida ambayo nashindwa kuitatua.

Achana nae we ifanye historia tu hiyo ya kuwa nae.... huyo mtoto sio wako..... anataka kukupa majukumu ambayo sio yako...
meona eeeh miss u wii