Mwenzenu najuta kumtoa mam'dogo bikra. Nimeoa, ameolewa na baba yangu, lakini bado ananing'an'gania tu. Nifanyeje ili nimuepuke?

Mwenzenu najuta kumtoa mam'dogo bikra. Nimeoa, ameolewa na baba yangu, lakini bado ananing'an'gania tu. Nifanyeje ili nimuepuke?

Ni kweli mkuu.

Lakini kwa uzoefu wako unaona swala hili likijulikana mimi nitakuwa na hatia?
Kwa sababu mimi nilianza kuwa katika uhusiano nae kitambo kabla hata huyo bamdogo hajajuana nae. Pili baada ya kuchumbiwa na kuolewa na bamdogo, mimi nimebadili cheo chake kutoka kuwa ex g'friend to mamdogo. I mean huwa namuita mamdogo na kumpa heshima zote anazostahili kupewa kama mke wa bamdogo wangu.

Na since aolewe sijawahi kumgusa au kufikiria kumgusa abadani. So hapo mkuu ikijulikana aibu na lawama zitakuwa kwa nani? Mimi? Bamdogo? Au bint muhusika?
Aibu ni kwako Mzee wangu.
Sababu kamwa mwanaume lijari lazima utakuwa unamkumbuka hata Kwa sekunde kisha unapotezea hayo mawazo lakini hurudi Tena baada ya yeye kukutafuta au kuona Hali inayofanana kama ili mlikuwa mkifanya wakati mpo pamoja.
 
Aibu ni kwako Mzee wangu.
Sababu kamwa mwanaume lijari lazima utakuwa unamkumbuka hata Kwa sekunde kisha unapotezea hayo mawazo lakini hurudi Tena baada ya yeye kukutafuta au kuona Hali inayofanana kama ili mlikuwa mkifanya wakati mpo pamoja.
Yani ni hatari sana mkuu.
 
Nikisema nimpotezee bamdogo itakuwa ngumu, kwa sababu yeye ni mzazi hivyo ni lazima niwe na mawasiliano nae ili linapotokea jambo la kifamilia iwe rahisi kuli save pamoja.

Kuhusu mamdogo, yeye kwa sasa nimempotezea (sio namchukia) bali naepuka matatizo yanayoweza kuja kutokea baadae. Hapo sijui unasemaje bingwa?
ooh apo sawa angalau ikiwezekana Kila anapo kutafuta unamblacklist chamsing kuwa nae mbali nakutunza ndoa Yako piaa upo sahihi maana dodo ushachuma iimeisha iyoo
 
uo ndio ulikuwa mwanza wa mahusiano yetu mimi na huyu bint ambae leo hii ni mama yangu mdogo. Nakumbuka wakati tunaanza uhusiano aliniambia iwe siri ya watu watatu tu. Yani mimi, yeye na sister tu basi. Hakutaka mtu yoyote mungine ajue uhusiano wetu, nikawambia poa.

Kutokana na kutopenda show off basi ilikuwa kila nikimtaka aje home (geto) lazima atakuja kwanza kwa sister apige pige story alaf watu wakiwa hawapo uwani ndo anaingia ndani kwangu kimya kimya, tunakaa tunaongea na kupanga mengi kuhusu maisha na uhusiano wetu. Cha kushangaza muda wote huu ilikuwa nikimgusa tu ugomvi unaanza na kuomba nimfungulie aondoke. Hali hiyo iliendelea huku yeye akiahidi kunipa apple 🍎 baada ya ndoa. Nilipomuuliza alidai kuwa toka azaliwe hajawahi kuguswa hata na kidole, hivyo haitokuwa busara yeye ajitunze miaka yote hiyo alaf aje kuharibiwa ukubwani tena na boy friend tu (sio mume).

Kwa namna fulani nilikuwa namuelewa, lakn kwa upande mungine nilikuwa naona kama vile ananinyima funguo ya kufungua kitu muhimu katika maisha yangu, maana mpango wa kuoa kwa muda ule nilikuwa sina na ukizingatia nilikuwa bado mwanafunzi, vilevile kazi yenyewe ya kujifunza. Hata hivyo sikukata tamaa wala kumuonesha kuwa sina mpango wa kuoa. Sanasana nilikuwa namwambia aniombee dua nimalize elimu

1. Mimi ndio niliemtoa bikra (kumuharibu usichana wake) hivyo niliona kumuacha kwa njia ile ilikuwa ni dhambi kubwa. Na ningemsababishia mateso makubwa ya moyo katika maisha yake.

Leo kuna meseji kanitumia ki ukweli imeniacha hoi, mpaka najuliza hivi ikitokea siku bamdogo akafumania aina ya mesej kama hii hali itakuaje katika familia!!

Anyway leo naomba niishie hapa, ila kama kuna mtu anaeweza kunipa ushauri wa nini nifanye ili kujiepusha na hali hii naomba anishauri maana da ishakuwa too much now.

Hebu angalia ujumbe alionitumia leo asubuhi. Maana hata kumjibu tena naogopa wakuu.

Omba akupe nyuma (kifiro). Akikubali mgeuzie kibao, mwambie kumbe wewe ni mshenzi unafirana!! Akikunyima pia mwambie HUMTAKI tena.

Utaŕudi hapa kunishukuru
 
Mwanangu masogange,kumbe ndo wewe unasababisha mke wangu wa ndoa,nimpendae kwa dhati aninyime mbususu miezi miwili sasa? ulikuwa hujui kuwa hata me natumia jf na nitausoma uzi wako? dawa yako imeiva mwanangu....!mbona utajuta!!!
 
Sababu sio kumtoa hiyo uzi ni upendo tu yaani alikupenda. Wanaume niwape siri yetu naana naona mnajidanganya miaka mingi " kuna bikra ya nyama na bikra ya moyo" . Kuna atakayekuanza kwili tu ila kuna atakaye kufungulia dunia ya upendo ukasema woooow. Huyu wa upendo na vitu flani unaweza kutana naye hata baada ya kuwa na 3+ au hata watoto anavuruga ubongo kabisa.
Ukiona ulimtoa bikra mwanamke akakukumbuka maishani issue sio bikira ALIKUPENDA.
 
Back
Top Bottom