Mwenzenu nakula mpaka najiogopa!!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Bila Shaka Mu Wazima madokta wangu!
Mwenzenu huku ari ni ya utata sana, kwani ninatatizo la kula sana takribani kilo moja na nusu
Hiyo ni kwa mlo mmoja tu yaani asubuhi, na mchana ukifika mwendo ni huohuo mpaka usiku!
Nimekunywa dawa za minyoo lakini bado tatizo halikomi,
Mpaka Naona aibu kula migahani au sehemu ya watu zaidi yangu, nisipokula Mlo Mmoja kwa siku tumbo huunguruma hasa nikihisi harufu ya chakula!
Mimi sio mnene,sifanyi kazi ngumu na wala sinyanyui vyuma vizito,
Nisaidieni madokta!
 
Mkuu.@Zezeta La Town Pole sana kwa hayo Matatizo yako yanaayo kukuta jaribu fanya hivi kila unapo amka Asubuhi kunywa Maji ya Uvuguvugu glasi 2 kabla ya kupiga mswaki na ukisha piga mswaki kunywa tena maji

ya Uvuguvugu glasi moja kisha ukae kama dakika 45 ndio ule mlo wa asubuhi na mchana chemsha maji ya

uvuguvugu unywe glasi 2 kisha ukae dakika 45 baada ya dakika hizo 45 waweza kula. Na mlo wa usiku kunywa tena Maji ya uvuguvu glasi 2 kisha ukae dakika 45 baada ya hizo dakika 45 waweza kula mlo wa usiku

na wakati wa kwenda kulala kunywa tena maji ya uvuguvugu glasi moja kisha ulale fanya hivyo kila siku baada ya siku 7 njoo unipe feedback unaendeleaje . Na Usikose kwenda Hospitali kumuona Daktari.
 
sor for asking,
how old ar ya?
what is ya occupation,?
when did this problem begins? POLIPHAGIA?
do ya have any preference ya vyakula unavopenda au kila chakula unagonga tu?
vipi choo unapata vizuri? na tumbo wala halisumbui zaid ya kunguruma huko unapokua na njaa?
huwa usiku pia unaamka kula? kwa njaa?
na mkojo unapata vizuri? unaamka usiku kukojoa?
is there any family history of kisukari?
kuna mabadiliko yoyote ya ngozi unayaona?
tumbo huwa linajaa gesi|?
vipi macho huna tatizo lolote? unapata shida wakati wa joto? heat intolerance?
mwili upo sensitivie zaidi ya unavofikiri?
till then, b4 ya answer my questions, endelea na matibabu ulopewa hapo juu na ndugu
tumia pia dawa za minyoo,, sio vibaya
 
Excessive hunger is characterized by the need for increased food intake above your usual caloric needs. It may be caused by disorders in the systems that regulate appetite and blood sugar or by circumstances such as pregnancy. Excessive hunger can also be attributed to endocrine conditions, such as Graves' disease and hyperthyroidism, in which the body produces excess amounts of thyroid hormone, resulting in weight loss, hyperactivity, insomnia, or constant hunger that is unsatisfied by eating.
Hypoglycemia is another cause of hunger and is caused by rapid fluctuations in blood sugar that lead to excessive insulin in the bloodstream. People with diabetes are especially prone to hypoglycemia. Severe cases are known to cause insulin shock and coma, so proper control of blood sugar and insulin levels is essential.
Hunger also has an emotional and mental component. Some people eat more when they are sad, depressed, stressed, or anxious. Certain medications, such as antidepressants, sedatives, and birth control pills, are also associated with increased appetite.

Kama hali ni mbaya kihivyo: Nenda hospitali ukafanyiwe vipimo hivi:
1. Hormonal assay
2. Comprehensive Chemistry pannel
3.T3 and T4.
4.FBP.
 

Ahsante sana dr MziziMkavu, Mimi Maji Nakunywa sana(si ya vuguvugu)
asubuhi naamka kwa lita moja na susu
Mchana na usiku vivyohivyo!
Lakini nitajaribu tiba uliyonipa, Ahsante sana!
 

Ahsante Mkuu!
Mimi nakula chakula chochote kilicha harali!
Sina matatizo ya tumbo,
Usiku huwa siamki kula,
Huwa nakojoa vizuri,ila sina mazoea ya kukojoa usiku,
Sina kisukari,
Sina matatizo ya ngozi,
Tumbo halijai gesi,
Macho hayana matatizo
Wala sina tatizo na joto!
Ahsante mkuu,nitazingatia tiba niliyopewa!
 

Dah! Ahsante mkuu, itabidi nifanye hivyo mpaka nijaribu tiba ya DR MZIZIMKAVU!
 
Ahsante sana dr MziziMkavu, Mimi Maji Nakunywa sana(si ya vuguvugu)
asubuhi naamka kwa lita moja na susu
Mchana na usiku vivyohivyo!
Lakini nitajaribu tiba uliyonipa, Ahsante sana!
Mkuu Zezeta La Town fuatilia Dawa yangu ya hiyo ya Tiba mbadala uwe ndio kila siku unatumia njia hiyo basi matatizo yako yatakwisha inshallah.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, Una miaka 23 halafu unasifia ufanyaji wa punyeto na unang'ang'ania kuwa haina madhara? ndiyo maana unakulakula hovyo na haunenepi. Nadhani umeshajijibu sasa kuwa PUNYETO haifai.

Sasa mkuu kwani punyeto inaleta hasara mpaka nakula sana, eti Dr. MziziMkavu ni kweli Haya?
 
Sasa mkuu kwani punyeto inaleta hasara mpaka nakula sana, eti Dr. MziziMkavu ni kweli Haya?
Mkuu Zezeta La Town Kupiga Punyeto hakusababishi wewe kula sana ila kupiga Punyeto kwa umri

uliokuwa nao baada ya miaka kama 2 utakuwa huna tena nguvu za kiume itabidi unitafute mimi nikupe dawa a kuongeza

nguvu zako za kiume utakuwa ukiwa na mpenzi wako ndani ya chumba ukifunga goli moja tena kwa haraka sana na

kulirudia goli la pili hutaweza kabisa matokeo yake hutaweza kumrithisha mpenzi wako na atakuacha na kwenda kwa mtu

mwengine mwenyennguvu za kiume huo ndio ushauri wangu acha kupiga Punyeto ina madhara.

Madhara ya Kupiga Punyeto



Wanaume wengi sana wanatumia mikono mikavu kujisaga, jambo hili huwafanya waharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye ubongo.



Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa khasa akikutana na mwenza wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea kujichua nayo.



Jambo jingine hatari linalo mkabili mpiga Punyeto ni upotevu wa hisia wakati wa kujichua kwa mfano ili afike kwenye kilele lazima akuze hisia zake kwa kiwango cha juu, pengine kupita ukweli halisi ataokutana nao pindi atakapokuwa na mwanamke faraghani.



Mpiga Punyeto hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo kama Miss World kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke, kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za wanawake warembo ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na kina Mwafulani wa mtaani tena sio mtundu kimapenzi, hapo kamwe hawezi kusisimka mwili na hivyo kujikuta Uume wake husimama kwa kiwango cha chini sana.



Madhara mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kuumwana sana na kichwa, mgongo, kupoteza nguvu za mwili na macho, madhara mengine makubwa khasa mwanamme anaejichua mara mbili au tatu kwa siku ni kushidwa kuzalisha, hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za kiume kwenye mfuko wa uzazi.

 
Last edited by a moderator:

unapoteza ngyvu nyingi sana kwenye kunyetuka ndo maana unacompanseti
 
Unamuuliza MziziMkavu kama ni kweli punyeto inaweza kukupunguzia nguvu za kiume au la?. MziziMkavu ana dawa ya nguvu za kiume anaiuza dola 300 kama shilingi laki tano (500,000/=) za kitanzania.

We unafikiri unapofanya mapenzi unatumia masaburi? unahitaji nguvu za kiume ili uweze ku-do na kigoli, unadhani nguvu za kiume hutoka kwenye mafua yako?, nguvu za kiume hutoka katika mwili wako ambao nao huhitaji chakula ili kuzipata hizo nguvu.

Unatumia nguvu NYINGI ZAIDI ZA MWILI UNAPOFANYA PUNYETO KULIKO UKIFANYA TENDO HILO NA MWANAMKE!!! Ni kama mara kumi zaidi ya nguvu ya kawaida huhitajika ili uweze kufika kileleni kwa kutumia mkono.

Na kuna sababu gani hasa hadi ujichuwe? we chizi nini?

Nimeona umebadili jina, la ZEZETA hulitaki tena?

Sasa mkuu kwani punyeto inaleta hasara mpaka nakula sana, eti Dr. MziziMkavu ni kweli Haya?
 

unaona aibu gani sasa mbona mimi nakula karibu kilo mbili tena migawahani lakini sioni aibu. haafu naweza kula chapati nane na chai tatu sehemu moja. mchana naweza kula sahani 3-4 za ugali/wali bila kuona aibu. wacha zako wewe, fukia bwana
 
punyeto nouma itakuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…