Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Bila Shaka Mu Wazima madokta wangu!
Mwenzenu huku ari ni ya utata sana, kwani ninatatizo la kula sana takribani kilo moja na nusu
Hiyo ni kwa mlo mmoja tu yaani asubuhi, na mchana ukifika mwendo ni huohuo mpaka usiku!
Nimekunywa dawa za minyoo lakini bado tatizo halikomi,
Mpaka Naona aibu kula migahani au sehemu ya watu zaidi yangu, nisipokula Mlo Mmoja kwa siku tumbo huunguruma hasa nikihisi harufu ya chakula!
Mimi sio mnene,sifanyi kazi ngumu na wala sinyanyui vyuma vizito,
Nisaidieni madokta!