Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa anisaidie

Red pen

Member
Joined
Mar 4, 2019
Posts
51
Reaction score
37
Hello, habari zenu?

Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa for real kama Premise app nchini Tanzania anijuze. Nimetafuta nyingi Sana km Afrisight, Geopoll n.k sijapata jamani!!

Napenda kujishughulisha Sana hasa online survey through apps, website lakini sijapata zaid ya Premise!

Naomba anayejua anisaidie kuitaja mm nitaifatilia ndugu, nyingi zinalipa through PayPal ambavyo kwa hapa Tz hiyo huduma haipo, nimeangaika nikaona kitu kinaitwa ClickPesa kwamba inaweza kutumika badala ya PayPal napo sikuelewa. Naombeni msaada kwa wale wanaojua haya mambo.

Shukrani.
 
Nimewahi sit..hata mm ningependa kuzifahamu
 
Kwani hiki ni kitu gani mkuu, ndo kufanya kazi online na kulipwa maana nilishawaikuisikia ila sikuielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…