Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kama hawa wanakuwa wepesi sana mpwa, manaake ukimwambia hilo gauni limekutoa, basi akivaa gauni jengine lazima atajileta ili umwambie tena, na siku ukikosea stepu ukamwambia kwa mwonekano wako wewe inaonekana kitandani mechi extra time, basi ile attention itamfanya atake kukuonesha kweli.
NB: mie sjasema kama phina yuko hivi wajameni, nimemwongelea huyu waifu wa jirani yangu apa
Nimekimbila wapi tena??hutaki mwanao aombewe??
Tena kama hawa wanakuwa wepesi sana mpwa, manaake ukimwambia hilo gauni limekutoa, basi akivaa gauni jengine lazima atajileta ili umwambie tena, na siku ukikosea stepu ukamwambia kwa mwonekano wako wewe inaonekana kitandani mechi extra time, basi ile attention itamfanya atake kukuonesha kweli.
NB: mie sjasema kama phina yuko hivi wajameni, nimemwongelea huyu waifu wa jirani yangu apa
Mbona wengine hatutaki wala hatulazimishi ila tunapata sana tu?Na huo mwili unavyoufunua sana vipi sura? Hailipi vyakutosha?
Njoo nikufundishe namna ya kuwa wewe bila mbwembwe na bado ukapata attention popote uendapo.
What your trying to be won't do you any better,just be yourself yupo atakae kupenda for what you are without much complications..hiyo ya mume wa mtu ndo balaa kabisa don't try it at home it might cost your life my dia..
Haya Fidel80 sitompa maujanja tena. . .bebeni jumla jumla kama mnaweza!!Acha kutupeperushia ndege tunduni bi mkubwa.
Lakini hujambo? Shemeji vp umesha mpikia magimbi?
Mbona wengine hatutaki wala hatulazimishi ila tunapata sana tu?Na huo mwili unavyoufunua sana vipi sura? Hailipi vyakutosha?
Njoo nikufundishe namna ya kuwa wewe bila mbwembwe na bado ukapata attention popote uendapo.
Huyu lazima apike na kupakua kwa mpwa klorokwini mshenga atakuwa babu Asprin mi mpambe karibu kwenye mnuso.
Si umeona darling phina, yaani mimi nikakuseme wewe kwa ubaya, sitosubutu na wala sitowezaThank you for making that last part clear..maana hawachelewi kukuza mambo!
Mpwa kusanya michango ya harusi. Mambo yanaenda vizuriHuyu lazima apike na kupakua kwa mpwa klorokwini mshenga atakuwa babu Asprin mi mpambe karibu kwenye mnuso.