Mwenzenu Napita kipindi kigumu sana

Mwenzenu Napita kipindi kigumu sana

pole sana nakushauri utumie dawa ya asili iitwayo golden ooyster ni nzur sana ebu ni text 0765650028 nikupe maelezo zaidi
 
Hospitali utapotez pesa na muda wako,kama walivyoshaur wengne..we nenda2 kaombewe.
 
Kanisa lenye nguvu ya mungu unalijuaje Mkuu!!?

hayo ni mapepo/ majini yamekuingia, na wewe ndie chanzo ama kwa tabia zako au kuna mtu amekutupia. cha kufanya amini kwamba yesu anaweza kila jambo hakuna gumu la kumshinda kata shauri mpokee bwana yesu, amini anaweza kukuponya na hiyo hali na nyinginezo kisha tafuta kanisa lenye nguvu ya mungu (sio kila kanisa wana nguvu ya mungu) nenda uombewe na ujifunze kujiombea mwenyewe.
 
Utakuwa umetupiwa jini Fulani hivi, (kombora) nenda kwa mtalamu na km huna mtaalamu nitafute nikupe mawasiliano yake. hiyo ni issue ndogo sn. lkn pole kwa kujaribiwa kimtindo.
 
Kwa kweli waliokushauri juu ya kwenda kuombewa wamefanya jambo jema sana.
Usipuuze. Achana na mambo ya waganga. Your life will be much worse uki run to waganga. Mungu ndo Suluhu yako.
Your answer only God has it and your healing is also with God.
Nenda kanisa unaloamini lina maombi ya nguvu za Mungu ukaombewe achana na waswahili. Trust me.
 
Dadii2 Cha imani za kishirikina mwelekeze mtu kwa muumba wake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom