Jamani mwenye bodaboda na anatafuta dereva naomba anidip,hizi njemba zinafaidi mwanawane,embu fikiria nimembeba Chocs mwenge posta halafu hivyo vinyonyo vyake saa sita vinanichomachoma mgongoni,weee!!!!
Eti Erickb52 unaonaje hapo kama kila asubuhi nitakuwa nampeleka kazini kwake Amana akafanye unesi?
Lazima nihakikishe tunapita njia yenye mashimo abiria anaporukaruka weee!Bishanga nikupe moja,
kuelekea kichochoro cha home kwangu kuna madogo
wanapaki bodaboda zao pale. Nikawa na mazoea
kama niko na dala dala lazima nichukue boda boda pale.
R
Ukipanda wale madogo wanakuambia mama sogea huku
kiti cha mizigo ni kibovu ukikaa kitakuangusha, eeeeh bhana eeeh
so lazima umtaiti kwa ziro distance.
Siku ya siku ile tu amenipakia kupanda kamlima kidogo tu dogo
sijui alikosa pumzi huyoo kanitupa chini, loooh,
Japo sikuumia sana ila nilipata tatizo kichwani na ilinipa shida kidogo
kujitibu.
.............. yote hii ni ili kukupa mbinu unapopakia abiria lazima umwambie akusogeleeee kwa saaaana
ila kaa chonjo.
biashara matangazo BishangaBishanga nikupe moja,

eeeeh...we mkareeeJamani mwenye bodaboda na anatafuta dereva naomba anidip,hizi njemba zinafaidi mwanawane,embu fikiria nimembeba Chocs mwenge posta halafu hivyo vinyonyo vyake saa sita vinanichomachoma mgongoni,weee!!!!