Mwenzenu niko na huzuni ya kufiwa

Mwenzenu niko na huzuni ya kufiwa

Nina majonzi mazito ya kufiwa na ndugu John Wick baada ya kumaliza kutazama chapter 4.
Bado sijajua kuomboleza huku kutaisha lini
John Wick alikua kama kaka na mshauri mkubwa. Mbele yake nyuma yetu
"Those who cling to life die, those who cling to death live" [emoji119]
 
John wiki wenu huyu hapa
Huyu anaitwa Kaenu Reeves, mwigizaji katika mfululizo wa John Wick.

So far, sijaziona taarifa zozote mtandaoni za bwana huyu kufariki. Nimeona taarifa ya kifo cha Lance Reddick ambaye naye pia ni mshiriki kwenye mfululizo huo.

Labda kichwa cha uzi huu, kimebeba ujumbe flani ambao ambao hatujaelewa hautuhusu.

Kama kweli no swala la kifo cha KR, basi wenye ithibati hiyo waje nayo hapa!!
 
Back
Top Bottom