Mwenzenu nimeachwa

Mwenzenu nimeachwa

Mkuu, pambana na malengo yako.. mipango yako ndo iwe first priority kwako... Atakayeweza kukuvumilia huku akiendelea kukuvulia sawa.. atakayeona hawezi achape lapa milango iko wazi
Amen sanaa broo.

#YNWA
 
Mkuu mapema sana,,, huyo mshenzi atarudi siku sio nyingi...

Kaa kwa kutulia tu... Mademu tumeumbiwa wanaume...

Thank me later
 
Mkuu mapema sana,,, huyo mshenzi atarudi siku sio nyingi...

Kaa kwa kutulia tu... Mademu tumeumbiwa wanaume...

Thank me later
Raia kama Hawa wakirudi nikuwafanya ""Sperm dustbin""

#YNWA
 
Back
Top Bottom