Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
-
- #21
Amen sanaa broo.Mkuu, pambana na malengo yako.. mipango yako ndo iwe first priority kwako... Atakayeweza kukuvumilia huku akiendelea kukuvulia sawa.. atakayeona hawezi achape lapa milango iko wazi
Si utafuta hela zako kwangu uje kupata utamu ambao huwezi kuutafuta ukiwa mwenyewe.Hela nilijua hela sina muda siku hizi na nyie wagumu wakutoa pesaa
Umeona eeh kuoa ni USHAMBA.Ndo maana kuna mda sitaman ndoa nataman nihustle wee niwe na mihela ah
Wacha weeSi utafuta hela zako kwangu uje kupata utamu ambao huwezi kuutafuta ukiwa mwenyewe.
#YNWA
Hela unaweza zipata ukiwa alone, ila utamu huwezi aisee.Wacha wee
Raia kama Hawa wakirudi nikuwafanya ""Sperm dustbin""Mkuu mapema sana,,, huyo mshenzi atarudi siku sio nyingi...
Kaa kwa kutulia tu... Mademu tumeumbiwa wanaume...
Thank me later
Kwamba nyie mademu mmeumbiwa wanaumeMkuu mapema sana,,, huyo mshenzi atarudi siku sio nyingi...
Kaa kwa kutulia tu... Mademu tumeumbiwa wanaume...
Thank me later
Sperm dustbin ndio kumfanyaje mkuu2Ngoja Shamba lianze kutema, najua atarudi.
Itakua ni Kazi ya kumfanya sperm dustbin.
#YNWA
Hivi kwa mapenzi ya sasa bado Kuna mtu akiachwa analia?Kweli ya leo sio ya jana ,A to Z maumivu.