Tugawane bsYour cell number has won you £850,000 in ongoing 2017 cocacola mobile draw in UK, to claim; send your name, age&number to: cocaukpa@outlook.com. Hii msg imetumwa leo kwenye simu yangu kutoka namba 0623 576932.
Ulishiriki shindano lolote linalowahusu hao jamaa?hata mimi wamenitumia leo.ila sidhani kama kuna ukweli kwenye hili.Mwenye taarifa au uelewa zaidi waje watueleweshe ila so far shilingi mia yangu kuwapa kwa sasa ni kubwa kuliko hela wanayosema nime(ta)shinda
Your cell number has won you £850,000 in ongoing 2017 cocacola mobile draw in UK, to claim; send your name, age&number to: cocaukpa@outlook.com. Hii msg imetumwa leo kwenye simu yangu kutoka namba 0623 576932.