FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
:third:Go confidently in the direction of your dreams.
Live the life you have imagined..
Mkwe pole hiyo hali huwa inatokea just do something you like the most, i believe baada ya muda hiyo hali itaisha and you'll be back to normal it happens at times.
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..
Usihofu,jaribu to have fun(kucheza mpira wa miguu,volleyball.basketball,netball au kukimbia nk), kuwa na wenzako kuongelea mambo ya maendeleo,kwenda kanisani au msikitini na unapokua na wenzako muwe mna time ya kucheka huwa inapunguza sana
Take it easy, hiyo hali ni kawaida kutokea...
Cha muhimu jitahidi usifanye jamb ambalo litakufanya ujute baadaye..
pole sana...hiyo hali hutokea....si unajua siku hazifanani......itaisha baada ya muda....
tafuta movie nzuri ujiliwaze......jaribu kuangalia......The proposal....kacheza Sandra Bullock....utaenjoy....
Happiness nadhani unajua kabisa mawazo yakishaingia kwenye Ubongo..Kwa nini uwaze mambo yasiyo na majibu? Usiulazimishe ubongo wako kufanya kazi isiyowezekana. Ndio maana umejichosha kiakili.
Inaonyesha umepanda kitandani bila kusali ndo maana una hasira
Ni kweli Fidel80 sijasali ..maybe pepo limenitembelea
Kaka anakuja soon bana...kwanini kupata mapresha yasiyo na sababu?
November si mbali bana! Vumilia for just 2-3 weeks!
Lakini una haki shemeji langu...ni siku mingi sana ati!
Pole mrembo jaribu kutoka japo nje kidogo 4 a walk utajisikia poa..