Mwenzenu nina hasira kila kitu nakiona kibaya..

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..
 
Usihofu,jaribu to have fun(kucheza mpira wa miguu,volleyball.basketball,netball au kukimbia nk), kuwa na wenzako kuongelea mambo ya maendeleo,kwenda kanisani au msikitini na unapokua na wenzako muwe mna time ya kucheka huwa inapunguza sana
 
Take it easy, hiyo hali ni kawaida kutokea...
Cha muhimu jitahidi usifanye jamb ambalo litakufanya ujute baadaye..
:third:Go confidently in the direction of your dreams.

Live the life you have imagined..
 
pole sana...hiyo hali hutokea....si unajua siku hazifanani......itaisha baada ya muda....
tafuta movie nzuri ujiliwaze......jaribu kuangalia......The proposal....kacheza Sandra Bullock....utaenjoy....
 
Kwa nini uwaze mambo yasiyo na majibu? Usiulazimishe ubongo wako kufanya kazi isiyowezekana. Ndio maana umejichosha kiakili.
 
Mkwe pole hiyo hali huwa inatokea just do something you like the most, i believe baada ya muda hiyo hali itaisha and you'll be back to normal it happens at times.

Mkwe jamani kama ndo hivi..Nimeuziwa TF na aloniuzi anajua kaniuzi vibaya namwambia kanipa jibu ambalo linanifanya niwaze na kuwazua ..sijaanza hata kufanya kazi naitizama tu Computer !
Nimewaza kuanzia niko Primary mpaka leo mama wa familia ...thanks let me try my best
 
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..

Inaonyesha umepanda kitandani bila kusali ndo maana una hasira
 
Usihofu,jaribu to have fun(kucheza mpira wa miguu,volleyball.basketball,netball au kukimbia nk), kuwa na wenzako kuongelea mambo ya maendeleo,kwenda kanisani au msikitini na unapokua na wenzako muwe mna time ya kucheka huwa inapunguza sana

Estson22 niko ofisi ya peke yangu na mkoloni ila sio yeye alonikwaza ndo naanzaia wapi kucheza Volleyball

Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi..
 
Take it easy, hiyo hali ni kawaida kutokea...
Cha muhimu jitahidi usifanye jamb ambalo litakufanya ujute baadaye..

Nakushukuru sana TANMO kwani hasira nilizonazo naweza fanya ama sema lolote baya likawa matatizo mbeleni
eeh mungu nisaidie
 
pole sana...hiyo hali hutokea....si unajua siku hazifanani......itaisha baada ya muda....
tafuta movie nzuri ujiliwaze......jaribu kuangalia......The proposal....kacheza Sandra Bullock....utaenjoy....

Preta cheki PM yako mamy!
 
Kwa nini uwaze mambo yasiyo na majibu? Usiulazimishe ubongo wako kufanya kazi isiyowezekana. Ndio maana umejichosha kiakili.
Happiness nadhani unajua kabisa mawazo yakishaingia kwenye Ubongo..
Ok ngoja nijitahidi kupunguza
 
Kaka anakuja soon bana...kwanini kupata mapresha yasiyo na sababu?
November si mbali bana! Vumilia for just 2-3 weeks!
Lakini una haki shemeji langu...ni siku mingi sana ati!
 
asante my shemeji ..ngoja nione siku inaendaje missing u big time ..mbona umepotea
 
Back
Top Bottom