bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,776
- 2,393
Aisee mwenzenu mwana jf kwanza poleni kwa kadhia za maandamano ata mm vijana wa genz walinkimbiza mno kitaa tarehe 30 baada kutokea mtaan na shati langu la kijani, mazeee ilkuwa shidaa...
Baadae kupooza maumivu yangu nlimpata binti mmoja kifaa kizuri kweli kweli cha matumizi ya sanaa.. Nlijikuta nmezama chumvini.. Na hadi leo nina maumivu makali... Tusaidiane jmn
Baadae kupooza maumivu yangu nlimpata binti mmoja kifaa kizuri kweli kweli cha matumizi ya sanaa.. Nlijikuta nmezama chumvini.. Na hadi leo nina maumivu makali... Tusaidiane jmn