bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,776
- 2,393
Nipige dozi gani mkuu.. Nipo manzese hukuuProbably fungus
Anza kuuza vitu mkuu urudi kijijiniAisee mwenzenu mwana jf kwanza poleni kwa kadhia za maandamano ata mm vijana wa genz walinkimbiza mno kitaa tarehe 30 baada kutokea mtaan na shati langu la kijani, mazeee ilkuwa shidaa...
Baadae kupooza maumivu yangu nlimpata binti mmoja kifaa kizuri kweli kweli cha matumizi ya sanaa.. Nlijikuta nmezama chumvini.. Na hadi leo nina maumivu makali... Tusaidiane jmnView attachment 3506040
Ibuka pale faru phamarcy kuna doctor makini sana.Nipige dozi gani mkuu.. Nipo manzese hukuu
Braza achana na maumivu kapime HIV kwanza urudi tukushauriAisee mwenzenu mwana jf kwanza poleni kwa kadhia za maandamano ata mm vijana wa genz walinkimbiza mno kitaa tarehe 30 baada kutokea mtaan na shati langu la kijani, mazeee ilkuwa shidaa...
Baadae kupooza maumivu yangu nlimpata binti mmoja kifaa kizuri kweli kweli cha matumizi ya sanaa.. Nlijikuta nmezama chumvini.. Na hadi leo nina maumivu makali... Tusaidiane jmnView attachment 3506040
Aisee mwenzenu mwana jf kwanza poleni kwa kadhia za maandamano ata mm vijana wa genz walinkimbiza mno kitaa tarehe 30 baada kutokea mtaan na shati langu la kijani, mazeee ilkuwa shidaa...
Baadae kupooza maumivu yangu nlimpata binti mmoja kifaa kizuri kweli kweli cha matumizi ya sanaa.. Nlijikuta nmezama chumvini.. Na hadi leo nina maumivu makali... Tusaidiane jmnView attachment 3506040
80%?? wewe unakutana na wanawake wa wapi 😂Asee usirudie hiyo tabia hata awe mkeo usijaribu,wanawake 80% ni wachafu sana.