Mwenzenu Nina maumivu makalii baada ya kuzama chumvini... Msaada jmn!

Hapo hujaishia kuzama chumvini tu aisee, hujaingia na mlango wa jirani kweli?
 
Hahaha. Hata uwaite wasiojulikana na bunduki kichwani, sisogezi pua kule pangoni.
 
weka na ndimu kabisa upate utamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…