DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #121
Sahii kabisa,Ni kweli.Lakini my mum alikua nje na anytime angepiga simu afunguliwe geti or may be angetukuta nje tunafanya mambo yetu ..Imaginee
Ila muwe mnakumbuka kukagua magari yenu.Michepuko mingine inafanya makusudi kukukomoa
uyu was kwangu Kuna kipindi alijifaragua anataka atambulishwe Kama bi.mdg nikawa nakataa.
Alichojifunga siku tumemaliza kufanya ya kufanya, akaniwekea chupi yake Kenny suruali.
Nmefika home, nmevua nmetundika kesho yake wife anafua nguo acha aikute.
Msala wake ulikua sio wa nchi hii[emoji4]