Mwenzenu yalinikuta: Tujuzane yaliyokukuta valentine 2022

Ni kweli.Lakini my mum alikua nje na anytime angepiga simu afunguliwe geti or may be angetukuta nje tunafanya mambo yetu ..Imaginee

Ila muwe mnakumbuka kukagua magari yenu.Michepuko mingine inafanya makusudi kukukomoa
Sahii kabisa,
uyu was kwangu Kuna kipindi alijifaragua anataka atambulishwe Kama bi.mdg nikawa nakataa.

Alichojifunga siku tumemaliza kufanya ya kufanya, akaniwekea chupi yake Kenny suruali.

Nmefika home, nmevua nmetundika kesho yake wife anafua nguo acha aikute.

Msala wake ulikua sio wa nchi hii[emoji4]
 
Dah! Jamaa ako Yuko very romantic [emoji39]
Yes he is, Ila vingine nilimuelekeza bby you should do this not that, na yeye ananiambia vitu anavyopenda na asivyopenda na naheshimu anything he says.Nilikua kalevi , akaniomba niache pombe na niliacha.

So, kwenye mahusiano mtu anatakiwa kuwa mbunifu so naona ana style mpya kila siku, hata kama mtu yuko mbali but haufeel lonely.
 
Ndo zile za kuweka chini ya ulimi?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huyu dada ni mafia[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Mkeo anahitaji medali aise
 
Sahii kabisa,
Love is ana art, na Kuna watu wanaiwezea Sana Iyo Sanaa.

Jamaa ako Ni mmmojawapo.

Binafs mwanamke mlevi Sana simpendi, ila mnywaji yule wa kuondolea aibu Ni Safi Sana. Hasa wakat wa nanihii[emoji4]
 
Ukiwa huna hela utauchukia[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huyu dada ni mafia[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Mkeo anahitaji medali aise
Stori nzima khs hicho kisa niliiandika kwenye huu Uzi[emoji4][emoji116]

Niliona mkuu, ila she must be so sweet cuz sikutegemea ungemrudia kwa timbwili lile.
 
Watu wanataka kupretend n wastaarabu still they are not,,

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sahii kabisa,
Na ndo wengi wanaojifanya kupondea wanaofunguka humu.

But behind darkness wanafanya machafu kuliko hata sisi tunaokuja hadharani.

Nisawa na askofu anakemeza uzizi, wakati yeye anafiller watoto wadogo.
WHAT A SHAME[emoji3525]
 
Sahii kabisa,
Love is ana art, na Kuna watu wanaiwezea Sana Iyo Sanaa.

Jamaa ako Ni mmmojawapo.

Binafs mwanamke mlevi Sana simpendi, ila mnywaji yule wa kuondolea aibu Ni Safi Sana. Hasa wakat wa nanihii[emoji4]
Yeah, RED WIne with dark chocolate..Mnaweza fanya mpaka asubuhi kwa utamu usioisha
 
Sana, Dark chocolate inaongeza nyege na redwine inakutoa kwenye reli hahah
Ha ha ha...
Mchepuko wangu akitaka tupige show heavyduty anambia nimuandalie chocolate, mbuzi choma na dompo Mona bariiidi[emoji4]

Hapo show yake Ni balaa na nusu.
 
Wao ndio wananionea wivu
Unanichafulia kwa mtu wangu ili iweje sasa
Na wao wanapambani utamu wao[emoji4]
 
Ha ha ha...
Mchepuko wangu akitaka tupige show heavyduty anambia nimuandalie chocolate, mbuzi choma na dompo Mona bariiidi[emoji4]

Hapo show yake Ni balaa na nusu.
Ndo maana basi mtamu .

Naona anapenda sana dompo.Try Merlot inaongeza nyege balaa na haina hangover.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…