Mwenzenu yalinikuta: Tujuzane yaliyokukuta valentine 2022


Kwa iyo ulimla mdogo mtu mkuu [emoji28]
 
Na wao watafute machimbo yao
 
Siku ya Valentine nimetoka mzigoni saa nne usiku, nikaishia bar nilimkuta bro wangu na dem flan mkali, huku demu wake wa siku zote yote baarr hiyohiyo, akastukia mchezo. Kumbe nae akamseti mtu wake mwingine, na akambwaga bro pale. Nikajua tulivykua wahuni nao vilevile
 
Sijaelewa[emoji848]

Inamaana bro wako alikua anacheat na mwanamke mwngn, na mwanamke wake nae akacheat na mwanaume mwngne?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…