Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa 'anauliwa' ningeshauri polisi wajulishwe. Lakini mtu aliyeamua kujiua wa nini kuhangaika nae na kusumbua polisi!Toeni taarifa polisi. pengine watamuwahi kabla hajafa.
Duh, mkuu you are too harsh. Hivi unafikiri mtu anajiua kwa kupenda? Wakati mwingine akili na mwili huwa havina ushirikiano kabisa na unaweza kujikuta unafanya kitu ambacho hukukifikiria. Huyu mtu anahitaji msaada, si ajabu wakimuokoa maisha yake, yeye mwenyewe atashangaa ni kwanini alitaka kujiua.Ingekuwa 'anauliwa' ningeshauri polisi wajulishwe. Lakini mtu aliyeamua kujiua wa nini kuhangaika nae na kusumbua polisi!
Duh, mkuu you are too harsh. Hivi unafikiri mtu anajiua kwa kupenda? Wakati mwingine akili na mwili huwa havina ushirikiano kabisa na unaweza kujikuta unafanya kitu ambacho hukukifikiria. Huyu mtu anahitaji msaada, si ajabu wakimuokoa maisha yake, yeye mwenyewe atashangaa ni kwanini alitaka kujiua.
Na jamaa ni mtu wa dini sana,ana hadi album za kwaya
Mida hii mwanachuo kaacha ujumbe kua anaenda kujiua,mlima wilolesi hapa iringa,tunamtafuta haonekani,first year,tetesi mtihani w jana mgumu.
Duh, mkuu you are too harsh.
Hivi unafikiri mtu anajiua kwa kupenda? Wakati mwingine akili na mwili
huwa havina ushirikiano kabisa na unaweza kujikuta unafanya kitu ambacho
hukukifikiria. Huyu mtu anahitaji msaada, si ajabu wakimuokoa maisha
yake, yeye mwenyewe atashangaa ni kwanini alitaka kujiua.
Na jamaa ni mtu wa dini sana,ana hadi album za kwaya