Mwenzetu katuma sms anaenda kujiua-mkwawa university

Mwenzetu katuma sms anaenda kujiua-mkwawa university

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Mida hii mwanachuo kaacha ujumbe kua anaenda kujiua,mlima wilolesi hapa iringa,tunamtafuta haonekani,first year,tetesi mtihani w jana mgumu.
 
Mida hii mwanachuo kaacha ujumbe kua anaenda kujiua,mlima wilolesi hapa iringa,tunamtafuta haonekani,first year,tetesi mtihani w jana mgumu.

Msimtafute badala yake anzeni vikao vya maandalizi ya mazishi yake BUMIJA
 
Last edited by a moderator:
huyo kachoka kula ugali ndo maana zikawepo supp na carry upeo mdogo wa kufikiria ndo tatizo la baadhi ya vijana wanakurupuka ktk kufanya maamuzi,endeleeni kumtafuta.
 
Toeni taarifa polisi. pengine watamuwahi kabla hajafa.
 
Toeni taarifa polisi. pengine watamuwahi kabla hajafa.
Ingekuwa 'anauliwa' ningeshauri polisi wajulishwe. Lakini mtu aliyeamua kujiua wa nini kuhangaika nae na kusumbua polisi!
 
Anatishia tu. Wanaoenda kujiua hawasemagi. Kama ni mhehe atakuwa anaitwa na babu zake huko!
 
Kwani akijiua ttz nini...???wanaojiua hawatoi taarifa
 
Kwan akijiua taifa litapata hasara gani?
 
Ingekuwa 'anauliwa' ningeshauri polisi wajulishwe. Lakini mtu aliyeamua kujiua wa nini kuhangaika nae na kusumbua polisi!
Duh, mkuu you are too harsh. Hivi unafikiri mtu anajiua kwa kupenda? Wakati mwingine akili na mwili huwa havina ushirikiano kabisa na unaweza kujikuta unafanya kitu ambacho hukukifikiria. Huyu mtu anahitaji msaada, si ajabu wakimuokoa maisha yake, yeye mwenyewe atashangaa ni kwanini alitaka kujiua.
 
Kweli matatizo yanaziadana..., wengine hata kwenda university walishindwa, wengine hata mkate wa kila siku hawapati, wengine mtihani kuwa mgumu tu kwao ni mwisho wa dunia..
 
Bado hatumuoni,hapa chuo kuna Police Post,na wanajua kila kitu
 
Duh, mkuu you are too harsh. Hivi unafikiri mtu anajiua kwa kupenda? Wakati mwingine akili na mwili huwa havina ushirikiano kabisa na unaweza kujikuta unafanya kitu ambacho hukukifikiria. Huyu mtu anahitaji msaada, si ajabu wakimuokoa maisha yake, yeye mwenyewe atashangaa ni kwanini alitaka kujiua.

Asingesema. Ukiona anaweza kutoa taarifa kuwa anaenda kujiu, basi akili anayo huyo. Kuna watu wanataka attention ya waumini wa hisia ndio hufanya hivyo.

Tahadhari kwa wenye tabia hizo, usimkaribishe shetani katika makisio ya kesho yako, akitamalaki hakika utaja fanya hivyo kweli siku moja.

Weka tumaini lako kwa Mungu, kila jaribu lina mlango wa kutokea
 
Na jamaa ni mtu wa dini sana,ana hadi album za kwaya
 
Mida hii mwanachuo kaacha ujumbe kua anaenda kujiua,mlima wilolesi hapa iringa,tunamtafuta haonekani,first year,tetesi mtihani w jana mgumu.

Kama usemalo ni kweli, ninatuma malaika wazuie ili arudi amtumikie Mungu wetu
 
Duh, mkuu you are too harsh.
Hivi unafikiri mtu anajiua kwa kupenda? Wakati mwingine akili na mwili
huwa havina ushirikiano kabisa na unaweza kujikuta unafanya kitu ambacho
hukukifikiria. Huyu mtu anahitaji msaada, si ajabu wakimuokoa maisha
yake, yeye mwenyewe atashangaa ni kwanini alitaka kujiua.

Akili na mwili vingekuwa havina uhusiano asingeacha ujumbe.
 
Wanafunzi wengi wa vyuo vikuu ni wadogo sana, hivyo hawana uwezo au hawajui jinsi ya kukabiliana na changamoto. Nafikiri wanahitaji Counselling na wale wasiojiweza katika baadhi ya masomo wapewe tuition kwa kuwatumia graduate students, ambao watalipwa na wanafunzi wenyewe au na sponsors wao. Hii kitu ipo vyuo vikuu vingi amerika (USA) na naamini hii itawasaidia kufanya vizuri kwenye masomo yao.
 
sasa mtihani kuwa mgumu ndiyo ajiue dah naunga mkono kauli ya mdau hapo juu kuwa conseling is deed at higher learning institution maana watoto hawajitambui akisikia sap anahisi kifo
 
Back
Top Bottom