chriss_ndile
Member
- Aug 4, 2011
- 21
- 2
Muone daktari kwa ushauri zaid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Hakuna cha mbeche wala bweche kubwa..ww ndo utakuwa na kasigara..so kanamezwa
dogo ujui ujasiriamali??imebidi nicheke tu......mapumba yanatoka?....ana bacteria huyo tena ni mgonjwa kweli ...mshauri akamuone daktari
Sio kama namwanika ila nahitaji ushauri hili si ndo jukwaa la ushauri wa kimaumbile. maana ilibaki kidogo nimwache akalia sana

Wewe mirembe kuna nafasi.

Usipende kuwa mtabir kama Yahaya

Uwe na heshma unapotoa tafsir ya nukuu zangu!

Jamani mwenzenu napata tabu, mwenzi wangu wa kike ana mbweche kubwa ajabu kiasi kwamba sipati raha afu anatoka vitu kama mapumbapumba hivi, kumwacha siwezi nifanyeje?
Wewe tena umezidi. Mimi nina wasiwasi hizo pumba zinatoka kichwani mwako.ndo hayo hayo kama mapumba si mapumba machicha si machicha yanakuwa yanabadilika langi kama noti mpya zinavyofanya
Sasa LittleX, akiweka hamira si ndio mbeche itaumuka zaidi?amira na nyanya chungu
Mwambie aweke cku3 af atani pm kwa majibu
Ungechungulia mkuu huwezi fahamu labda ana mashine ya kusaga/kukoboa ambayo inaweza kuwaingizia kipato na ukata huu lol!Jamani mwenzenu napata tabu, mwenzi wangu wa kike ana mbweche kubwa ajabu kiasi kwamba sipati raha afu anatoka vitu kama mapumbapumba hivi, kumwacha siwezi nifanyeje?
...Nimecheka sana mpaka boss wangu anauliza vipi bwana uko sawa??? dah ! anatoka pumba tena?hayo mapumbapumba yanatoka wapi?? sikioni, puani, mdomoni , mguuni n.k pambanua lol
wewe ndo umemwambukiza inatokana na wewe kuwa na nanii ndogo so hewa inaingia na vumbi