UFASHE MLIBHONA
Senior Member
- Nov 28, 2012
- 177
- 51
Haya yameanza yale mambo ya Bukoba kwetu, inatia mashaka kweli kutakuwa na maendeleo ya soka mhh!!! TFF. Tenga aliona mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu nao ni Mzigo. Time will tell.
Naona kuna walakini kidogo hapa:
Rais Malinzi: Yanga damu & haya damu
Katibu Mwesigwa: Yanga damu & haya damu
Mwenyekiti kamati ya ufundi: Yanga damu & haya damu
Labda ni coincidence tu.....
Kama ccm chama cha mizigo automatically Yanga nayo ni ya miziko na kwa kuwa yanga ndo wako tff tutegemee chama cha msoka mzigo kama natani matter of time will tell us ukishaona mwenyekiti na katiba yanga na kama ulimwangalia Rais tff uso haukufurahi wakati simba 3 Okwi 1 ujue tff ni chama cha mizigo
correctedMbona hiyo picha ni Loyd Nchunga?!!!!
Kwanini akili inatupeleka kwenye ukabila badala ya kuuliza wasifu?
TFF ina kanuni zikivunjwa ndio tulalamike.
Kwanini akili inatupeleka kwenye ukabila badala ya kuuliza wasifu?
TFF ina kanuni zikivunjwa ndio tulalamike.