Mweye taarifa official atusaidie kuhusu oral Interview ya TABIBU DARAJA LA PILI (Clinical Officers) kuhairishwa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kuna habari zinasambaa kuwa interview ya tabibu daraja la II (Clinical Officers ) imehairishwa mpaka Ijumaa tarehe 13/9/2024.
Mwenye uhakika na tarifa hiyo atusaidie with evidence.
 
Kwani kwenye account yako imeandika taree ngapi?
 
Ni kwenye magroup yao mtu ametuma (for your information mimi siyo mtahiniwa, kuna kijana /mjukuu wangu, mimi nilimaliza kusoma 1986 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 )
 
Kuna habari zinasambaa kuwa interview ya tabibu daraja la II (Clinical Officers ) imehairishwa mpaka Ijumaa tarehe 13/9/2024.
Mwenye uhakika na tarifa hiyo atusaidie with evidence.
Mbona unahangaika. Ingia kwenye tovuti ya utumishi utaona taarifa rasmi. Badala ya trh 11 wamepeleka mbele mpaka trh 13. Jifunze kufuatilia taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi mkuu.
 
Ni kwenye magroup yao mtu ametuma (for your information mimi siyo mtahiniwa, kuna kijana /mjukuu wangu, mimi nilimaliza kusoma 1986 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 )
Wabongo Bhana 😂 ety kwenye magroup
 
Sasa mjukuu wako anashindwa kuzama chumvini mwa akaunti yake kupekenyua taarifa rasmi ya kusogezwa kwa usaili wa oral wa KADA yake?.
wewe unamchekea TU adi muda huu nilitarajia kuona breaking news huko kwa Ayo tv amng'oa meno mjukuu wake kwa kukosa taarifa sahii juu ya ufanywaji wa usaili wa kazi za afya zilizotangazwa na utumishi.
Mtwange huyo usicheke naw watoto wa buku2 wanamapuuza sana
 
Hao ndo wale wanaenda usaili wanakutana na maswali ya o-Level wanakuja kulialia hapa 😂
 
Sasa mjukuu wako anashindwa kuzama chumvini mwa akaunti yake kupekenyua taarifa rasmi ya kusogezwa kwa usaili wa oral wa KADA yake?.

wewe unamchekea TU adi muda huu nilitarajia kuona breaking news huko kwa Ayo tv amng'oa meno mjukuu wake kwa kukosa taarifa sahii juu ya ufanywaji wa usaili wa kazi za afya zilizotangazwa na utumishi.

Mtwange huyo usicheke naw watoto wa buku2 wanamapuuza sana
Nimesema several times kama post huipendi, pita au block rather than making a mockery of me with abusive language! kama huwezi kujibu , pita kuliko majibu ya kishenzi kama haya! Sishindwi kukupa neno baya usipate usingizi. Nitakurudia baadaye!
 
Mbona unahangaika. Ingia kwenye tovuti ya utumishi utaona taarifa rasmi. Badala ya trh 11 wamepeleka mbele mpaka trh 13. Jifunze kufuatilia taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi mkuu.
Mbona sioni niwekee link if you can do that please
 
Ni kwenye magroup yao mtu ametuma (for your information mimi siyo mtahiniwa, kuna kijana /mjukuu wangu, mimi nilimaliza kusoma 1986 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 )
ndio Babu imehairishwa hadi ijumaa mambo yameliki
 
Nimesema several times kama post huipendi, pita au block rather than making a mockery of me with abusive language! kama huwezi kujibu , pita kuliko majibu ya kishenzi kama haya! Sishindwi kukupa neno baya usipate usingizi. Nitakurudia baadaye!
Akuna neno jipya baya juu yangu ambalo sijawai sikia aisee.
Karibu toa TU Hilo neno
 
Back
Top Bottom