Mweye taarifa official atusaidie kuhusu oral Interview ya TABIBU DARAJA LA PILI (Clinical Officers) kuhairishwa

Kuna habari zinasambaa kuwa interview ya tabibu daraja la II (Clinical Officers ) imehairishwa mpaka Ijumaa tarehe 13/9/2024.
Mwenye uhakika na tarifa hiyo atusaidie with evidence.
Poleni maDokta. Karibuni kwenye the art and science of interviews...
 
Kuna habari zinasambaa kuwa interview ya tabibu daraja la II (Clinical Officers ) imehairishwa mpaka Ijumaa tarehe 13/9/2024.
Mwenye uhakika na tarifa hiyo atusaidie with evidence.
Imeahirishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…