Mwezenu nina furaha!!!

Pretty nigaie na mimi. btw uko chumbani utaacha kuwa na furaha? teh teh
 
Yani we wacha tu hata na mimi huwa nakuwa nafuraha furaha nikiwa na pesa, yani mpaa sitaki kula.

Zimejaa leo kwenye account nini :biggrin:
 
Yani we wacha tu hata na mimi huwa nakuwa nafuraha furaha nikiwa na pesa, yani mpaa sitaki kula.
Zimejaa leo kwenye account nini :biggrin:

fazaa nagawa pesa.:juggle:
 
Last edited by a moderator:
mmmh, mie huwa napata furaha ya hivyo nikijifanya bushoke.

Bishanga!
 
Last edited by a moderator:
Yani we wacha tu hata na mimi huwa nakuwa nafuraha furaha nikiwa na pesa, yani mpaa sitaki kula.

Zimejaa leo kwenye account nini :biggrin:

....hii furaha wala si pesa.
 
Tarlisha, Usikubali mtu akubebeshe mizigo yake bana.

Huna haja ya kuingia kwenye skirin.

hongera,mie kuna lijitu limenitibua humu,natamani niingie kny screen....nimkamue balls zake.,...
 
Last edited by a moderator:
Kama hautojali niPM kilichokufurahisha ili nikupongeze. Ukieleza hapa hazarani waswahili watakukwangia si unajua.
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…