Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumbo limejaa...unamaanisha kuwa umepata ujauzito??.......Yaani nina furaha hadi nashindwa kula, nahisi tumbo limejaa.
Je umewahi kupata furaha ya jinsi hii?
....hii furaha wala si pesa.
....hii furaha wala si pesa.
Owk..mi niliwaza mbaaali. Hebu tuambie basi sababu ya hiyo furaha yako.....mimba tenaaa!! Hapana nina maana tumbo limejaa furaha, hadi njaa sisikii.
Owk..mi niliwaza mbaaali. Hebu tuambie basi sababu ya hiyo furaha yako
Ziwe zina fig 8 kama ulivyo 😛oaunataka ziwe na ujazo wa kiasi gani? :tongue:
Lazima kuna mtu basi kisha lalia tumbo lako, ndo mana unajihisi huna njaa :biggrin:....hii furaha wala si pesa.