Mwezi huu kuna nini? Mitaani pesa hakuna

Mwezi huu kuna nini? Mitaani pesa hakuna

Mwezi huu naona msimu wa ukata unanijia wakati nina madeni makubwa. Kazi yangu ya zamani ndio msimu wake huu, sijui nijilipue uko nihesabu nusu hasara.
 
Unapimaje hili, kuwa hela haipo ni mtaani kwako unajuaje,kata,wilaya ,mkoa hadi level ya kitaifa, au ni hisia zako tu.
Mimi hata nikikosa hela sitaweza sema hela zimeadimika Kwa watu ila itabaki kwangu pekee
 
Nimezunguka mitaani pesa imeadimika kabisa kuna nini. Maisha ni magumu ajabu, biashara zimerudi nyuma. Mwezi wa saba ya Mwaka huu tuna fail wapi. Tuambizane.
Aaaaaah mwanangu umeona mbali saivi kugumu jua linawakia mifukoni tu Maisha yamekua hayana fair kwani nyie wapi mnatoa izo hela mtwambie tu
 
Mwezi wa saba ni mwaka wa fedha wa serikali.. pesa inarudi bank kuu itakuwa disbursed upya kwenye halmashauri na taasisi za serikali wakishatuma mahitaji yao kwa mwaka
 
Back
Top Bottom