Mwezi huu umetulia

nyiokunda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Posts
1,976
Reaction score
1,181
Tukiwa katika mifungo ya dini ,mwezi huu kuna unautulivu sana. Kwanza hamna ukabaji na uvunjaji wa majumba, abiria hawapiti madirishani hasa wakazi wa Mbagala, uchangu doa umeyeyuka , kwenye bar watu hawarushiani vyupa na kitimoto napata poa kabisa. Bahati mbaya vioteli vya mjini vimefungwa na mama ntilie wamepungua sana.
 
Lazima hali ibadilike watu wapo kwaresma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…