nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,976
- 1,181
Tukiwa katika mifungo ya dini ,mwezi huu kuna unautulivu sana. Kwanza hamna ukabaji na uvunjaji wa majumba, abiria hawapiti madirishani hasa wakazi wa Mbagala, uchangu doa umeyeyuka , kwenye bar watu hawarushiani vyupa na kitimoto napata poa kabisa. Bahati mbaya vioteli vya mjini vimefungwa na mama ntilie wamepungua sana.