Mwezi Mei 2021 petroli iliuzwa kwa Tsh. 2,273.08

Mwezi Mei 2021 petroli iliuzwa kwa Tsh. 2,273.08

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
426
Reaction score
685
Leo nimelazimika kufananisha bei ya mafuta ambapo bei ya Petroli ilikuwa 2,273.08 na bei ya dizeli ilikuwa 2,145.76 hiyo ni kwa mwezi mei 2021 ambapo sasa bei imeongezeka kwa 38% kwa bei ya petroli na 52% kwa bei za dizeli ambapo kwa sasa bei ya petroli ni 3,148 na bei ya dizeli ni 3,258

Japo imetangazwa kushuka kwa bei bado ongezeko lililipo ni kubwa sana ndani ya mwaka mmoja.
 
bei ya mafuta kwa miaka kumi iliyopita
 
Back
Top Bottom