Pre GE2025 Mwezi mmoja baada ya uchaguzi, Mbowe yuko kimya lakini CHADEMA wanakanyagana

Pre GE2025 Mwezi mmoja baada ya uchaguzi, Mbowe yuko kimya lakini CHADEMA wanakanyagana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Screenshot_20250221_081316_Parallel Space.jpg


Baada ya kushindwa uchaguzi Freeman Mbowe hajaongea lolote. Akina Lissu na timu yake walitumia nguvu nyingi kumbomoa ili washinde uchaguzi kwa hila. Kumbe walikuwa hawana mkakati wa kukiongoza chama. Sasa wanakanyagana kumtukana Mwenyekiti mstaafu.


View: https://x.com/RehemaNM2/status/1892372722044354860?t=zfgUxlMMl_74CNtBaswz-w&s=19

Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Same people same bs..

The Rehemaa, Hildas, Marias, Libes, Think and other bunch of bs people...

CDM ina sub headquarters X... Unfortunately...

Wengine wanashauri na ku control lakini wanajinasibu kwamba wao sio wananchama wa chama chochote, what a shame?

Hivi how can someone build something for 3 decades alaf from nowhere aje kuidestroy?

Kuhoji uhalali wa wateule wa Bwana Smart ni kosa?

FAM ana haki miliki ya akil na maoni ya wengine?

Wakwende huko

Get out of here!
 
Inasikitisha sana kuwa Mbowe anafuata njia ya Profesa Lipumba ya kukiua chama alichoshiriki kukijenge kwa jasho na damu. Hii barua ingeishia tu kwa Katibu Mkuu wa Chadema tungeweza kusema ilikuwa na ni njema ya kutaka kurekebishana lakini kwa kumshirikisha Msajili wa vyama ambaye ameoneka siku zote kuwa ni adui namba moja wa vyama vya upinzani ni dhahir shahir kuwa nia ya barua hiyo ni kuibomoa Chadema na pia ni dhahir kuna mkono wa TISS katika sakata hili.
 
Back
Top Bottom