Pre GE2025 Mwezi mmoja baada ya uchaguzi, Mbowe yuko kimya lakini CHADEMA wanakanyagana

Pre GE2025 Mwezi mmoja baada ya uchaguzi, Mbowe yuko kimya lakini CHADEMA wanakanyagana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHADEMA inaongozwa na vibaka na matapeli wa kisiasa
View attachment 3243725

Baada ya kushindwa uchaguzi Freeman Mbowe hajaongea lolote. Akina Lissu na timu yake walitumia nguvu nyingi kumbomoa ili washinde uchaguzi kwa hila. Kumbe walikuwa hawana mkakati wa kukiongoza chama. Sasa wanakanyagana kumtukana Mwenyekiti mstaafu.

View: https://x.com/RehemaNM2/status/1892372722044354860?t=zfgUxlMMl_74CNtBaswz-w&s=19

Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Nani amekuambia hayatekelezeki?Subirini kazi ndiyo kwanza inaanza, na wapi Lissu ametukuzwa? Sema wewe una chuki binafsi na Lissu na hilo ni haki yako hakuna anayekuzuia ila usitulishe maneno ya kumtukuza Lissu.
Mkuu leo Mwananchi ina kichwa hiki cha habari:-
Screenshot_20250223_061228_Firefox.jpg
Nunua usome SAGAI GALGANO , Erythrocyte
 
View attachment 3243725

Baada ya kushindwa uchaguzi Freeman Mbowe hajaongea lolote. Akina Lissu na timu yake walitumia nguvu nyingi kumbomoa ili washinde uchaguzi kwa hila. Kumbe walikuwa hawana mkakati wa kukiongoza chama. Sasa wanakanyagana kumtukana Mwenyekiti mstaafu.

View: https://x.com/RehemaNM2/status/1892372722044354860?t=zfgUxlMMl_74CNtBaswz-w&s=19

Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Muhimu legacy imefutwa. Tugange yajayo. Huwezi kuwa kiongozi Kwa zaidi ya Miaka 20 ukawa na jipya kwenye Dunia ya Leo yenye 'brains' za kutosha.
 
Mwenyekiti amesema tutafute silaha kwanza ili nasi tuwe nazo kama wao, ndipo tutweza kuitekeleza hiyo No reform No election
Silaha mnaweza kizitafuta, shida ipo kwenye kuzitumia na dhidi ya nani. Lissu familia ipo Ubeleji. Wewe familia yako ipo Kintinku halafu eti unatafuta silaha! Akili za kuambiwa nawe ongeza za kwako!
 
Nilisema Team Lisu watakiua chama, wakawa wakali na matusi juu.

Nikasema wakishinda uchaguzi wa ndani wakashindwa kuendesha chama watasema FAM anawahujumu.

Na wameona hawaendi popote, sasa wameanza shutuma. Mtu waliyesema hana nguvu wala mvuto kisiasa, ana wahujumu vipi tena?

Niliwaambia matusi hayajengi, mkatukanaa wee.

Sasa mnaona matokeo ya matusi.
 
Mbowe ni mwanaccm katika kitengo cha kulamba asali hivyo ni lazima atatumika kuivuluga chadema kwa nguvu zote
 
aaaaaaaa

CHADEMA tupo imara, notwithstanding No Reforms No Erections.

FAM yupo nyuma yetu
 
Matusi, kejeli, kashfa. Labda wewe siyo mfuatiliaji
Sasa mtu ashinde uchaguzi kisa katoa matusi, kejeli na kashfa? Huoni kuwa hao wapiga kura watakuwa wajinga kupitiliza, kama mtu anatoa matusi na kashfa basi wasinge mchagua. Mh Lissu ndiye anafaa kuiongoza Chadema kwa sasa. Na ndiyo maana wamemchagua
 
Na ni wajinga kweli!! Unaona kuna mwenye akili pale?
 
Back
Top Bottom