Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
View attachment 3243725
Baada ya kushindwa uchaguzi Freeman Mbowe hajaongea lolote. Akina Lissu na timu yake walitumia nguvu nyingi kumbomoa ili washinde uchaguzi kwa hila. Kumbe walikuwa hawana mkakati wa kukiongoza chama. Sasa wanakanyagana kumtukana Mwenyekiti mstaafu.
View: https://x.com/RehemaNM2/status/1892372722044354860?t=zfgUxlMMl_74CNtBaswz-w&s=19
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti amesema tutafute silaha kwanza ili nasi tuwe nazo kama wao, ndipo tutweza kuitekeleza hiyo No reform No electionTekelezeni mliyoahidi kwenye kampeni ,uchaguzi ushapita pigeni kazi....Si waliona mbowe anaiba michango ,haya chombo washakabidhiwa ,twendeni sasa NO REFORM NO ELECTION.
Mkuu leo Mwananchi ina kichwa hiki cha habari:-Nani amekuambia hayatekelezeki?Subirini kazi ndiyo kwanza inaanza, na wapi Lissu ametukuzwa? Sema wewe una chuki binafsi na Lissu na hilo ni haki yako hakuna anayekuzuia ila usitulishe maneno ya kumtukuza Lissu.
Muhimu legacy imefutwa. Tugange yajayo. Huwezi kuwa kiongozi Kwa zaidi ya Miaka 20 ukawa na jipya kwenye Dunia ya Leo yenye 'brains' za kutosha.View attachment 3243725
Baada ya kushindwa uchaguzi Freeman Mbowe hajaongea lolote. Akina Lissu na timu yake walitumia nguvu nyingi kumbomoa ili washinde uchaguzi kwa hila. Kumbe walikuwa hawana mkakati wa kukiongoza chama. Sasa wanakanyagana kumtukana Mwenyekiti mstaafu.
View: https://x.com/RehemaNM2/status/1892372722044354860?t=zfgUxlMMl_74CNtBaswz-w&s=19
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Silaha mnaweza kizitafuta, shida ipo kwenye kuzitumia na dhidi ya nani. Lissu familia ipo Ubeleji. Wewe familia yako ipo Kintinku halafu eti unatafuta silaha! Akili za kuambiwa nawe ongeza za kwako!Mwenyekiti amesema tutafute silaha kwanza ili nasi tuwe nazo kama wao, ndipo tutweza kuitekeleza hiyo No reform No election
... hapo mtoto hasogezi mkono kabisa! ........................................... CUF 2005Ila Chadema kwa moto sana,
Mboga moto+ugali moto
Sawa ila kumbuka kama wao tayari wanazo na mwenyekiti ndiyo anaanza kutafuta hapo lazima mwenyekiti apigwe.Mwenyekiti amesema tutafute silaha kwanza ili nasi tuwe nazo kama wao, ndipo tutweza kuitekeleza hiyo No reform No election
Sasa alishinda vip kwa hila wakati uchaguzi ulikuwa live kabisa?Njoo na hoja siyo kauli za kejeli. Kwenye kejeli hata mpumbavu anaweza
Sasa mtu ashinde uchaguzi kisa katoa matusi, kejeli na kashfa? Huoni kuwa hao wapiga kura watakuwa wajinga kupitiliza, kama mtu anatoa matusi na kashfa basi wasinge mchagua. Mh Lissu ndiye anafaa kuiongoza Chadema kwa sasa. Na ndiyo maana wamemchaguaMatusi, kejeli, kashfa. Labda wewe siyo mfuatiliaji
Na ni wajinga kweli!! Unaona kuna mwenye akili pale?Sasa mtu ashinde uchaguzi kisa katoa matusi, kejeli na kashfa? Huoni kuwa hao wapiga kura watakuwa wajinga kupitiliza, kama mtu anatoa matusi na kashfa basi wasinge mchagua. Mh Lissu ndiye anafaa kuiongoza Chadema kwa sasa. Na ndiyo maana wamemchagua
Hakuna mwenye akili, basi tuwaachie chama chao wafanye watakavyoNa ni wajinga kweli!! Unaona kuna mwenye akili pale?