Bado hata haijafika saa nne,sasa ni saa nane alfajiri,ngoja muda upite vumbi utaliona![/QUOTE
hilo nalo neno hii mijidude inamahana basi kama ni ngoma ndo kwanza chakacha linaanza
Mamaa Kigogo unaongelea mijidude gani hapa? Mijanaume au mijanamke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hata haijafika saa nne,sasa ni saa nane alfajiri,ngoja muda upite vumbi utaliona![/QUOTE
hilo nalo neno hii mijidude inamahana basi kama ni ngoma ndo kwanza chakacha linaanza
Mamaa Kigogo unaongelea mijidude gani hapa? Mijanaume au mijanamke?
umemmiss nani? nyani ngabu au hiyo website?nimekumiss sana
wivu huo........nina uhakika ndoa yao itaimarikaMapenzi dotcom!
wivu huo........nina uhakika ndoa yao itaimarika
wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?
Mpe zawadi y kaujauzito ........
kamwezi tu wapeane vitambi jamani.
unauona mdogo?! ....... mama jery yy wiki 2 ki2 ndani!!