Mwezi ukilipuliwa kwa bomu la nuclear, nini kitatokea?

Mwezi ukilipuliwa kwa bomu la nuclear, nini kitatokea?

hakuna nuclear ya kufika huko asee,labda wakilipeleka kwa roket kisha wakalipulia hukohuko.
hakuna kitu kitatokea.
ila kutakua na particle na vumbi,radiation vikielea huko kwenye galaxy

Halafu mwezi sio jabali la maili tano au kumi
 
Mi situmii viroba mkuu. Mi ni mtu wa Juice tu. Nilikaribia kuwa full alcoholic nikaamua kuacha na nimefanikiwa. Hata wewe kama unataka kuacha viroba sema nikupe uzoefu wangu. It's easy!!!

Mkuu, hii reply iko directed kwa mleta mada, si wewe aisee. Nimequote na jina kabisa maana nyuzi zake nyingine bana!!

Francis da don Punguza viroba mkuu!. lol
 
Akili za watz ni sawa na mafisadi ccm kwa nini usifikirie nyuklia ikapigwa ccm ili iondoke unataka upingwe mwezi ambao hakuna ufisadi
 
Ni kweli kaka hizi ni fikra za bange, mtu alie sawa hawezi waza lisilowezekana. kuna siku ataleta sayari ya dunia, ikilpuliwa nini kitatokea.

hivi unafikiri watu kugundua kuwa kuna sayari lilikuwa ni jambo linalo wezekana??,au kugundua ndege lilikuwa ni jambo linalo wezekana??, au kugundua kitu kinacho hifadhi kumbukumbu (MEMORY CARD) lilikuwa ni jambo linalo wezekana?? lakini kutokana na mawazo ya kipuuzi leo unaweza kwenda mahali popote unapo hitaji hivyo usidharau mawazo ya mtu yaweza kuwa ni faida hapo mbele

be aware
 
Mdau - thanks for thinking. Hata mimi huwa nawaza mawazo haya mazito. Over the years nimegundua kwamba tabia hii imenifanya niwe mdadisi zaidi hata katika mambo ya kawaida na niko informed sana. Kiufupi ni kwamba hakuna bomu la Nyukia lenye nguvu kwa sasa linaloweza kuleta madhara makubwa kwa mwezi. Kwa sasa ukipiga kibomu chako cha Nyuklia, inawezekana huku duniani wala tusijue what is going on. Kimbembe ni pale ikitokea another big heavenly body igongane na mwezi na kufanikiwa kuumega mega au kuusambaratisha kabisa.

Kama heavenly body kubwa ikifanikiwa kuusambaratisha mwezi kabisa, miamba michache ya mwezi inaweza kupenya na kutudondokea hapa duniani. Hatari zaidi hata hivyo itatokana na kutokuwepo kwa mwezi wenyewe. Bila mwezi maisha yetu hapa duniani yatakoma. Mwezi unai-stabilize dunia na kuifanya ibakie katika njia yake bila kutetereka. Hili ni jambo la muhimu sana katika maisha yetu hapa duniani kwani dunia ikisogea kidogo tu mbele au nyuma basi jua linaweza kutuletea matatizo ama kwa joto hapa duniani kuwa kali sana au tunaweza ku-freeze permanently. Yote haya yanaweza ku-disrupt Photosynthesis, na bila Photosynthesis inamaanisha hakuna chakula na hivyo kifo kwa wengi wetu.

Bila mwezi wa kui-stabilize dunia yetu pia dunia inaweza kuongeza au kupunguza spidi yake. Wanasayansi pia wanasema kwamba without the moon, the Earth will start to wobble on its own axis utadhani mlevi wa viroba. Yote haya mawili siyo mambo mema kwani yanaweza kuingilia mfumo wa majira na kuufanya mfumo mzima uparaganyike. Jambo la hatari hata hivyo ni kwamba mambo haya yanaweza kusababisha Magnetic Field ya dunia kufifia sana na kuacha atmosphere yetu ikiwa wazi tu. Kumbuka kuwa Magnetic Field ya dunia ndiyo inatulinda na radiation na kufanya dunia yetu iwe na atmosphere. Bila magnetic field yenye nguvu radiation kutoka kwenye jua (hasa wakati wake wa plasma eruption) itaweza kudhuru viumbe hapa duniani (mbali na kukaanga grid zetu za umeme permanently). Kibaya zaidi ni kwamba bila ulinzi wa kutosha tunaopewa na magnetic field ya dunia, radiation kutoka kwenye jua inaweza kutafuna atmosphere yetu kabisa. Na hili likitokea then it is the end of the game. That means there is no Hydrological Cycle na hewa kama tulivyozoea. Life as we know it will end on this planet!


Japo tunaudharau na tunaukumbuka tu pale unapotumulikia usiku, kufanya bahari zetu kupwa na kujaa na kutufanya tule pilau wakati wa Eid, mwezi una umuhimu mkubwa sana katika mfumo mzima unaoifanya dunia yetu kuwa makazi ya mabilioni ya viumbe hai tukiwemo sisi wenyewe. We owe our very existence to the moon!

MashaAllah
 
kazi Mwezi ni kuonyesha mwsho wa mwezi wa kiislam so that another month can start.... xo days huwa 29 au 30.. kama mwezi ukionekana on night of 29th it means the next day itakuwa 1st day of another month...but kama haukuoneka on the 29th day the next day itakuwa 30th and even if mwezi hautooneka on that night, the next day haitakuwa 31st rather 1st of the another month... so if mwezi usipokuwepo ramadan and other month zitaend with 30 days not otherwise
 
Such a stupid thought, hakuna kitakachotokea kama unaelewa nini maana ya gravitational force, kwa sababu hakuna kiumbe kinachoishi huko kwenye mwezi, so kama ukilipuliwa kwa nucleur, utarusha mavifusi kwa mavifusi kama ilivyotokea Nagasaki na Hiroshima, at the end miamba yote iliyorushwa juu itarudi kwenye position mpya kutokana na force iliyoko huko kwenye mwezi, then things will go as is right now, tena huku duniani hatutajua chochote kinachoendelea huko, coz mwanga tutaupata kama kawaida ambao una akisiwa kutoka kwenye jua!

Mkuu ingawa gravitational force ya kwenye mwezi ni ndogo sana (ni 1.6N) kulinganisha na ya dunia (ni 9.8N).
Sasa kitachatokea ni kuwa hiyo miamba itakayorushwa hewani itarudi chini taratibu mno sababu gravity force ni ndogo pia na kuwa depositioned somewhere on the moon's surface and the effect will be almost negligible.
Maswali ya kujiuliza ni haya:-
1: je thickness ya mwezi ni ngapi?
2: je nuclear ina uwezo wa ku-penetrate hiyo thickness?
3: atmospheric pressure or condition ya mwezini inaruhusu any kind of explosion?


Karibuni wadau.
 
Kuna movies wazungu wana act zinaonyesha watu watakavyoishi mwezini, au nyingine zinaonyesha technology itakavyokuwa miaka mia moja ijayo. Mimi sijaona tofauti kati yao na alivyowaza huyu mleta mada maana pia zishachezwa picha nyingi kuonyesha mwisho wa Dunia. Wote mnaosema akili za watanzania zinashuka ni ufinyu wa kutotaka kudadavua mambo ambayo wewe unadhani hayawezekani kumbe yanawezekana na hata hii technology inayotumika kwa sasa wakati huo hakuna anaedhani ingekuja kuwapo
 
Hawa wanaomuita mtoa mada mjinga, wao ndio wajinga zaidi.. Hv kwa mfano leo hii kungekuwa hakuna mawasiliano ya simu na mtu fulani akatoa wazo anataka atafute namna ili mtu wa Dodoma awasiliane kwa njia ya sauti na mtu wa tanga, nazani hawa watu wangemuitia kikao cha familia kuwa anataka kuwa kichaaa! Leo kuna video call unazani watu walitegemea??? Kila kitu kinaanza km assumption then waelewa wanaumiza ndoga vilaza km nyinyi ndio mnafaidika
 
Wanawake wote watafurah sana maana itawapunguzia safar za kwenda mwezin kila mwezi
 
Kabla ya kuongea kama watu waliokatika vichwa

"....When we say blow up, we don’t just mean slightly-blow-up. See, if you don’t completely obliterate the Moon, the remaining fragments will likely coalesce back together into a Moon-sized object. Sure, it won’t look as pretty or as spherical as our modern Moon, but it will be pretty similar in its gravitational effect on Earth.

No, what we (or, more specifically, our future selves) want to do is completely get rid of the Moon. So, with their multiple rockets ready and waiting to attack the Moon from all sides, they launch them towards our natural satellite and blow it to smithereens. Scientists around the world eagerly prepare for one of the greatest (and most idiotic) experiments of all time.

With the fragments of the Moon too small to gravitationally bond together, they begin to spread out. First, a large number of them head towards Earth, raining molten Moon rock down on our planet. Cities are destroyed, countries are wiped off the map, and we begin to wonder if blowing up the Moon was such a brilliant idea.

The remaining Moon material enters orbit around the world, forming a ring around our planet. But, like Saturn’s ring, it doesn’t just stay there. Periodically, for the rest of Earth’s life, meteorites break from the ring and slam into the surface. We’re now under constant bombardment from an apparently vengeful Moon.

But the Moon isn’t quite done getting even yet. Have you ever noticed that the Moon is covered in craters? Well, that’s because it gets pounded by meteorites, protecting Earth from some of the rocks that head our way. With the Moon annihilated, we’re now also more vulnerable to space rocks.

Of course, one of the Moon’s most noticeable effects is (or was) the tides. With the Moon no longer there, the oceans of the world become much calmer. The Sun still has an effect on them (known as solar tides), so surfers wouldn’t be completely devoid of waves. But the oceans would largely become serene.

This has a dire effect on life on Earth. When life first formed on Earth in tidal pools, it was thanks to the gravitational pull of the Moon that primordial life was able to traverse between different pools and generally spread across the planet. While we’re already here now, life that is currently in the oceans is no longer able to move so easily. The churning of the oceans, and thus the circulation of nutrients, ceases. Water-based life struggles to survive and, eventually, thousands (and probably millions) of species go extinct.

The Moon isn’t done yet, though. You see, it also accounted for about one-eightieth of the Earth-Moon mass system. The loss of the Moon directly affects the Earth’s orbit, rotation and wobble. Without the Moon to act as a stabiliser, the Earth begins to wobble more and more, sending our seasons into turmoil and changing our orbit around the Sun from slightly elliptical to massively elliptical. We now swing around the Sun in a wild, unstable, fluctuating orbit.

As the world regrets their ill-advised decision to destroy the Moon, it’s already too late to do anything. If humanity survives the constant bombardment from the remains of the Moon and other space rocks, the eradication of most other species from the globe, and finally the potentially catastrophic seasonal changes then, well, maybe blowing up the Moon wasn’t such a bad idea.

Tuendelee na mipango ya kuubomoa maana nafsi zinauchukia kwa sababu ya.... Ni alama tu katika Alama za muumbaji, kwanini tusibomoe na jua?
 
Back
Top Bottom