Mwezi umegoma?

Stayfar

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
1,088
Reaction score
2,287
Hadi muda huu suala la Iddi kuwa kesho,linaanza kufifia.Hakuna mwezi wala dalili zake kwa hapa bongo.Ingawa inasemekana Dubai umeonekana,huku kwetu umegoma
 
Bora ugome tuu hivyo hivyo ili Idd iwe Jtatu..Long weekend Oyeeeeeeeeeee
 
Hadi muda huu suala la Iddi kuwa kesho,linaanza kufifia.Hakuna mwezi wala dalili zake kwa hapa bongo.Ingawa inasemekana Dubai umeonekana,huku kwetu umegoma
Una utani na yule Sheikh wa Mkoa swahiba wake na Bashite
 
Nadhani umeonekana kwenye baadhi ya mikoa. Sasa wale ambayo wako kwenye sehemu za mawingu, wataendelea kula usiku kama popo hadi msimu ubadilike.
 
Ndio maana nasema siku ni bora kuliko kutegemea mwezi
 
wacha waendelee kupigwa njaa hao. ila vidosho mtaani vimepungua, tunasubiri vifungue. nimeamini kweli hawa jamaa wakifunga tunakosa mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…