Mwezi wa 4 sasa simu yangu sina picha au video yoyote ya ngono

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea.

Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup nimetoka yoteeeee sitaki simu bila picha za ngono inawezekana kabisa.
 
Safi kabisa, kitu ambacho wengi hatujui ni kwamba siku ya kiama hata simu zitatoa ushahidi kwa yale mabaya tunafanya nazo kwa siri,ndio maana ukiokoka unatakiwa uokoke na vyote ulivyonavyo ikiwemo simu.
 
Yani katika vitu siwezagi ni kuweka mambo ya utupu kwenye simu yangu aisee. Kwanini nikae naangalia vikojoleo vya watu why? namba ya mtu nisiewasiliana nae tu siwezi kuivumilia kukaa nayo. Kwa hili moja kwa moja ntaiona pepo
 
Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea.

Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup nimetoka yoteeeee sitaki simu bila picha za ngono inawezekana kabisa.

Hongera sana! Mimi Nina about 40 years sijawahi kuwa nayo not one time
 
Thread 'Tatizo la kuchukia watu bila sababu' Tatizo la kuchukia watu bila sababu

Ariana usipobadili hili utaishia kuona upepo tu. Tena wa nje kwenu. lol 😂😂🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Hongera, lakini endelea kujikaza mpaka usahau mara ya mwisho kuangalia ilikuwa lini.
 
Thread 'Tatizo la kuchukia watu bila sababu' Tatizo la kuchukia watu bila sababu

Ariana usipobadili hili utaishia kuona upepo tu. Tena wa nje kwenu. lol [emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Hahahaha mkuu hio haibadiliki kwasababu simchukii kila mtu inatokeaga tu mtu moyo unamkataa...
Hongera sana! Mimi Nina about 40 years sijawahi kuwa nayo not one time
yani mi sioni sababu hata, najiulizaga kwanini nikae nazo...nakosa sababu kabisa ndo mana nawashangaa wenye nazo
 
Kwa hiyo hata ile ya gwajiboy 'iliyo editiwa' nayo umeifuta! Yaani wewe ndiyo basi tena!!
 
Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea.

Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup nimetoka yoteeeee sitaki simu bila picha za ngono inawezekana kabisa.
Babu unafeli sasa! Mikatiko mipya utajifunza wapi?
 
Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea.

Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup nimetoka yoteeeee sitaki simu bila picha za ngono inawezekana kabisa.
Hiki ndo kitu cha maana ulichobaki nacho kuleta jukwaani, ama kweli kuna watu wana vichwa kubebea nywele tu...
 
Back
Top Bottom