Mkuu imekuwaje ukaokoka..?Hongera sana Mkuu, Porno ni mpango wa Shetani kwa mwanadamu.
Mbona hata mimi sijawahi kuweka huyu mi namshangaa alikwama wapi..π
Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea.
Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup nimetoka yoteeeee sitaki simu bila picha za ngono inawezekana kabisa.
Thread 'Tatizo la kuchukia watu bila sababu' Tatizo la kuchukia watu bila sababuYani katika vitu siwezagi ni kuweka mambo ya utupu kwenye simu yangu aisee. Kwanini nikae naangalia vikojoleo vya watu why? namba ya mtu nisiewasiliana nae tu siwezi kuivumilia kukaa nayo. Kwa hili moja kwa moja ntaiona pepo
Hahahaha mkuu hio haibadiliki kwasababu simchukii kila mtu inatokeaga tu mtu moyo unamkataa...Thread 'Tatizo la kuchukia watu bila sababu' Tatizo la kuchukia watu bila sababu
Ariana usipobadili hili utaishia kuona upepo tu. Tena wa nje kwenu. lol [emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
yani mi sioni sababu hata, najiulizaga kwanini nikae nazo...nakosa sababu kabisa ndo mana nawashangaa wenye nazoHongera sana! Mimi Nina about 40 years sijawahi kuwa nayo not one time
Babu unafeli sasa! Mikatiko mipya utajifunza wapi?Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea.
Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup nimetoka yoteeeee sitaki simu bila picha za ngono inawezekana kabisa.
Nyie ndio wachawiUtarudia tu iko siku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo hata ile ya gwajiboy 'iliyo editiwa' nayo umeifuta! Yaani wewe ndiyo basi tena!!
Hiki ndo kitu cha maana ulichobaki nacho kuleta jukwaani, ama kweli kuna watu wana vichwa kubebea nywele tu...Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea.
Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup nimetoka yoteeeee sitaki simu bila picha za ngono inawezekana kabisa.