Mti mmkavu
Member
- May 24, 2023
- 36
- 68
[emoji13][emoji137][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mkuu ukilala unaota mshahara tu[emoji1][emoji1]nakuonaasTarehe ndio hizooo mambo bado uko wale wa kwa mangi tukalipe
Mangi ananikaba koo mpaka na kanauli kenyewe kanayoyoma π€£π€£π€£[emoji13][emoji137][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mkuu ukilala unaota mshahara tu[emoji1][emoji1]nakuonaas
Halafu tar zikikaribia Msg za bank zinaingia unafungua haraka haraka kumbe wanakupa matangazo yao...[emoji1][emoji1][emoji1]siyo msg ya mshahara weeee usiombe[emoji1732][emoji1732][emoji474][emoji474]Mangi ananikaba koo mpaka na kanauli kenyewe kanayoyoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwanabwana hizi pressure nyingine ndio zinamaliza nguvu hata miguu inachoka mapema kupiga Tz 11 π€£π€£π€£ kwani mambo bado tuu.?Halafu tar zikikaribia Msg za bank zinaingia unafungua haraka haraka kumbe wanakupa matangazo yao...[emoji1][emoji1][emoji1]siyo msg ya mshahara weeee usiombe[emoji1732][emoji1732][emoji474][emoji474]
Hili tabasamu sio bure, kwani tayari jamani, nianze kumvimbia mangi ?π€£π
π€£π€£πHili tabasamu sio bure, kwani tayari jamani, nianze kumvimbia mangi ?
Mkuu naona balance kwako iko sawa, huku hali tete πππ bado uko wakulungwa ?πππππ
kua na subira mkuuMkuu naona balance kwako iko sawa, huku hali tete πππ bado uko wakulungwa ?
Subira kanikimbia nyumbani nae anasema mangi kazidi kupiga piga hodi πππkua na subira mkuu
πππ Mangi leo hanisamehe tuu πππLeo ni bila bila labda kesho mambo yanaweza kuwa sawa
Mkuu Tanzania yetu hii kubwa sana, huko tayari kweli au huku umechelewa kufika π€π€π€Mbona tayariππ
Afya tayariMkuu Tanzania yetu hii kubwa sana, huko tayari kweli au huku umechelewa kufika π€π€π€
Ugumu hauna kada mkuu π€π€π€Walimu bwana